Penzi kitovu cha uzembe

Penzi kitovu cha uzembe

mi nilikosa quiz ya mwisho ya kutengeneza cozwek nilikua geto nakula raha na toto zuri. nlisapu lile somo.
 
Habar za humu jaman

Hiki kitabu nlikisoma kipind nipo secondary but sikutilia maanani jina la hii tamthilia

Ila nimekuja kusadiki kuwa lile jina la kitabu litaishi miaka yote dunian

Jana nlitakiwa kuhuzuria kipind ambacho j4 ninamtihani wake ila kuna manzi akaniahid anataka kunipa penzi so nkajikuta naahirisha kipind nkaenda kwa huyo demu so leo kila nkiangalia past paper sioni cha kufanya ndo hapa nikakumbuka kile kitabu nlichosoma secondary

Kama na ww mdau yameshakukuta kama haya tunaweza kushirikiana kupeana ushauri
Wanafunzi wa Usimamizi wa fedha Hawa.
Wanaendekeza ngono hawa sijawahi kuona.
Wengine nipo nao karibu hapa ndio kazi wanafanya mpaka Sasa nasikia miguno tu next room.
 
Back
Top Bottom