Kweli nimeamini wanaume hawaridhiki, sasa usipomgonga huyo house girl unapungukiwa nn kwa mfano?,na ukimgonga unapata nini za maana,kama sio kunitafutia mibalaa tuu ndani ya ndoa yako, kweli binadamu tumezoea shida ,hapo asaiv unaamani na mkeo naona ushamiss matatizo ndo unawaza kumgonga house...