Kuhusu huyo mwamba kujua alitoa boko. Ila kuhusu mama mjengo na hausigelu hu3nda Kuna Siri nyingi alikuwa anamtunzia na kumrescue sehemu fulani fulani. Na labda alikuwa mbaya kiasi kwamba mke hakuna tishio lolote kwenye kusalitiwa cheo Cha mama mjengo
Kuna mtu namfahamu alichukua hiyo 33.3 baada ya miezi kumi ya kufanya kungine kwisha akalambishwa 50 per kwa sababu hakufikisha miezi 18. Alichowmbiwa angefikisha miezi 18 angelamba ela yake yote.
Hili swala nimekuwa nikiwapa sawa humu ndani hii mara ya tatu na wapo walionifata inbox kunishukuru.
DAWA YA JINO NI MKOJO WAKO.
Matibabu.
1. Wacha kinyaa.
2. Amka alfajiri sana ukiwa kabla ya saa 11 itapendezq zaidi.
3. Fanya ufanyavyo uupate ule MKOJO WA kwanza muda huo ukiamka.
4. Kinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.