Recent content by Tageyo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9, nahitaji skrepa ya Prado niikarabati

    Mkuu, barikiwa Sana. Hii njia Yaweza saidia wengi tununue magari
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Marekani ila sina ndugu wala yeyote ninayemjua

    Mkuu samahani lakini kama... Nenda tu raisi Yuko huko, ila jitahidi kabla hajarudi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Niwie radhi Kwa Hilo. Ila nimeumia Sana kigundua Mwanaume mwenzangu anawapa wanaume wenzako. Nakuombea uishinde hiyo dhambi.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Mungu ingilia kati. Yani hapo ulipo unagawa? Dunia imeenda mbali Sana. Mkuu Yani tuko wote hapa siku zote tunajua we Mwanaume kumbe jike dime? Si ungetuambia mapema??
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    Huna haja ya kuomba uongozi, hiyo ndoa ukiingia majuto yake yatakuwa makubwa kuliko uliyoyapitia/unayoyapitia. I'm done
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    Pamoja na kufanya kazi na NGO za kimataifa lakini naona akili ni ya kijijini. Mtu 1. Mzinzi 2. Unamhudumia 3. Unajinunulia zawadi 4. Unajilipia magari. 5. Anakula mitaji ya biashara Huoni kuwa uko na tapeli? Sio amebakisha tu kukuroga alale na wanawake wengine na ulipe mshahara. Dada unawaza...
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi. Mathayo 19:8 Talaka sio rehema,ni wakati moyo ukiwa mgumu na ukishindwa kusamehe. Ndio maana ikawekwa talaka.
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Ninachojua, mahakamani lazima watakurudiaha Kwa viongozi wa dini, wajiridhishe ndipo wataandika talaka. Hata Bibilia inaruhusu talaka kwenye uzinzi. Yaani ugundue kabisa anatoka nje ya ndoa, ukishindwa kusamehe uko huru kumpa talaka. Viongozi wengine wa dini wanashindwa tu kuitafsiri vizuri...
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Kuna wakati dini imeeleweka vibaya sababu ya viongozi wa hovyo. Yesu anasema usimuache mke kama hajafanya dhambi ya uzinzi. Mathayo 5:32. Hakuna haja ya kupatanisha mke na mume kama mmoja wapo ni mzinzi na yule ambaye ni mwaminifu anataka kuachana naye. Msamaha ni kanuni ya mbingu, ila...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nidhamu na outlooking yako ni mambo ya msingi sana yatakayokufanya ufikie malengo mapema

    Mkuu alale saa ngapi mfano na aamke saa ngapi?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Gari Inauzwa Toyota Mark II Gx 100 Tzs. 2.5m

    Mkuu ikifika laki 7 Niko hapa.
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafanya nini ukijua hela zako anatumia mwanaume mwingne?

    Pole sana mkuu. Ushauri wangu Kwanza toka ndani Pili piga chini. Mungu akupe ujasiri.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kusoma vitabu?

    Baada ya kuangalia season Sanaa, nikaona huu ujinga. Yaani naangalia watu wanavyo pigana itanisaidia nini wakati hata pushapu zenyenye sipigi zaidi ya 2😃😃. Nikageugia vitabu. Though nilikuwa napenda Sana kusoma tangu nikiwa mdogo, ila mapinduzi makubwa ni kipindi nikiwa chuo. Jamani tusome...
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Mahusiano ya kimapenzi na ndoa hayana formula maalum?

    Kama ingekuwa na kanuni, maisha yangekosa ladha.
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananifanyia vituko ila nikitaka kumuacha anatishia kujiua

    Jiulize, Kama kwenye uchumba tu mnagombana kiasi hiki kwenye ndoa si kila siku mtakuwa wa wakusuluhishwa?. Huyo sio mtu sahihi, atakusumbua. Kama anajiua wewe sio mwokozi wake.
Back
Top Bottom