Recent content by Tafakuli

  1. T

    Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

    Kama mandamano ndiyo ufumbuzi, naomba yakisha hayo mandamano uje Tena hapa utueleze, namna bei ilivyopungua
  2. T

    Tupeane dondoo za nchi mbalimbali tulizowahi kutembelea ikiwa ni Fursa na Changamoto

    Ni Nilienda New York, Marekani nikaishi mji mmoja unaitwa Mount Venon Ni mji Watanzania wengi wanaishi na wengine wanamiliki majumba. Siku moja nilitoka kwenda Manhattan ndio mji yalipo makao makuu ya UN. Mwenyeji wangu alinielekeza kituo cha treni na kituo cha kushukia huko Manhattan. Kifika...
  3. T

    Tetesi: Zaidi ya wafanyakazi 600 yawakuta TPA......

    Hv hiyo TPDC Ina watumishi wangapi jumla. Akili za kuambiwa changanya na zako.
  4. T

    Serikali yachelewesha kulipa mshahara watumishi wa umma mwezi huu wa 2

    Wapinzani WA Serikali usingizi hampati kwa kuwaza na kuiombea Serikali mabaya km nyie mwaishi nchi nyingine. Poleni Sana na wewe unaonekana sio mtumishi WA imma.
  5. T

    Kauli ya waziri yadharauliwa na Tanesco Kisarawe, Pugu

    Tanesco Kisarawe Ni tatizo kubwa. Hawa watu hawajitumi kbs kwa hiyo hata wakifukizwa kwa dhulma inakuwa malipo kutokana na uzembe wao. Watu wanashindwa kuwaunganishia Umeme wateja waliolipia huduma kwa kipindi zaidi ya miezi sita. Wanachoangalia Ni rushes Tu. Hayo Ni malipo ya dhulma na uzembe wenu.
  6. T

    Siri imefichuka Wachezaji wa Yanga Nahodha Cannavaro na Kessy wapigana wakigombea posho

    Dismass Ni mtu makini Sana hawezi kuangaika na mtu kama wewe.
  7. T

    TANESCO Kisarawe hawaendani na kasi ya Rais Magufuli

    Hivi karibuni Tanesco kisarawe wamesambaza nguzo za umeme katika eneo la kwa Mbiki mtaa wa Zavala. Wakazi wa eneo hilo ambao walihamishwa kutoka Kigilagila takriban miaka saba iliyopita walipata na kuona mwanga umewafikia kwa kukosa huduma hito kwa muda mrefu. Cha kushangaza watu walijaza fomu...
  8. T

    Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

    It seems you have pounds for just serving your stomarch not for investment
  9. T

    Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

    It seems you have pounds just to serve your stomarch not for investment.
  10. T

    Inawezekanaje kutumia milioni kumi kwa siku moja kwa matibabu ya Lisu?

    Gha Gharama hizo zingetumiwa na mtu WA Serikali lingekuwa povu la kufa mtu humu lkn kwa vile Chadema inaonekana sawa.
  11. T

    Simba SC mmejipigia Yanga SC vya kutosha, sasa tupigie Azam FC

    Kwani Yanga nayo haijawahi kuifunga Simba
  12. T

    Wachezaji watatu bora kuwahi kucheza Yanga SC

    Ahmed Amasha Omar Hussein na Abeid Mziba
  13. T

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO wakati wa kampeni DAR mpya iliyofanywa na RC Makonda mlitoa ahadi kuwa mtaleta umeme huko mtaa wa Zavala kata ya Buyuni by Mei 2017. Leo Agost 2017 hakuna dalili isipokuws kwa watu wenye uwezo wa kujinunulia nguzo na kutoa cha juu. Je mlimuongopea RC Makonda siku ile ya mkutano
  14. T

    Sheria zinasemaje Clouds partnering with RockstarTV ambayo Ali Kiba ni shareholder? Je hakuna upendeleo?

    Wasanii hawana haki ya kisheria ya kupewa equal coverage ktk media. Hayo ni mambo ya kibiadhara na biashara ni ubunofu na ushindani ni sawa sawa kusema Bakhresa na Mo wapewe equal coverage wakati hoyo itategemea na pochi lao.
  15. T

    Sijawahi kumwona mwanajeshi!Police Zeruzeru (Albino)

    WEWE ULILENGA KUKASHIFU MAALBINO LAKINI SIO KWELI KWAMBA ULIKUWA HUJUI SABABU ZA MAALBINO KUTOKUWA MAASKARI POLISI AU JESHI. KAMA KWELI ULIKUWA HUJUI SABABU MUNGU AKUSAMEHE LAKINI KAMA ULILENGA KUWAKASHIFU MAALBINO OMBA MSAMAHA KWANI NA WEWE NI MLEMAVU MTARAJIWA. HUJAFA HUJAUMBIKA.
Back
Top Bottom