Recent content by Tadeo Luzwili

  1. Tadeo Luzwili

    Naomba kufaam soko kua soko kisheria linatakiwa kua na vigezo gani?

    Naomba kufaam soko kua soko kisheria linatakiwa kua na vigezo gani?
  2. Tadeo Luzwili

    Waziri Mkuu Majaliwa aibukia Kariakoo, azungumza na wa fanyabiashara

    Mimi namshukuru sana waziri mkuu kwakukemea tabia mbaya za hao wakusanya kodi anakuja nakukuamia kama huna leseni Funga mimi nifundi kushona guo alikuja afisa biashara nakunitaka leseni Chelehan moja niliogopa mpakaleo toka Ijumaa sijafungua na sijui kama nastahili kukata leseni!
  3. Tadeo Luzwili

    TRA Tanzania hampo makini

    Napenda kujua mimi nifundi kushona nina Chelehan moja nimeambiwa nifunge kama sina leseni je hii nisawa?
Back
Top Bottom