Recent content by tacteam

  1. T

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    umeangalia upande mmoja bado wa pili fahamu hapo pamemweka mtu mjini na alikuwa hakubaliki na watu wa ubungo. Tafakari
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nyati nane wamekufa baada ya kugongwa na fuso

    hakuwa speed 50km/hr anaongopa kwa vile sheria ya mbugani onataka hivyo big liar
  3. T

    JamiiForums Tanzania Am sure hawa hapa watakuwa wamenuna, na hawa hapa watakuwa wanafurahia

    likihamia upande wa pili msiseme mnaonewa limeanzia nyumbani sasa jirani jiandae
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Zitto bado ana hasira na CHADEMA? Soma hii post yake

    Watajwe basi tuwajue
  5. T

    JamiiForums Tanzania US says Kagame should go when term ends in 2017

    Hayo ni matayarisho ya vurugu maziwa makuu akiwa mbishi jeuri yake ataiona Wamempandisha na sasa wanamshusha
  6. T

    JamiiForums Tanzania Je, unamjua Masamaki anayekaa Pugu Kajiungeni?

    Kapigwa chini ya mkanda acha alalamike
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa China kwenye mgogoro kati ya Russia na Turkey

    Sidhani kama mchina ana muda huo maana ni majuzi kaachana na jembe na sululu. Vita ni gharama
  8. T

    JamiiForums Tanzania Uturuki wametuma vifaru 20, na ndege 18 kukabiliana na Russia

    Kwa kutengeneza mabati mazito mazito russia anatisha ila mimi sijaamini kama russia ana askari imara
  9. T

    JamiiForums Tanzania Uturuki wametuma vifaru 20, na ndege 18 kukabiliana na Russia

    Mchina akijichanganya kwenye hizi project chafu za vita za wazungu atarudia kushika chepe na sululu tena
  10. T

    JamiiForums Tanzania Uturuki wametuma vifaru 20, na ndege 18 kukabiliana na Russia

    Aliyekuwa retired ni F117A nighthawk. F117N seahawk yupo mzigoni na F117B. Na tofauti ya hizo ni seahawk mziki wake ni mnene kuliko nighthawk, kuanzia ukubwa wa mashine ,usalama na mzigo inaoubeba. A series mashine yake ni general electrical f404 na N series mashine yake ni gerenal electrical...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uturuki wametuma vifaru 20, na ndege 18 kukabiliana na Russia

    INTELLIGENT nilikuwa naandika bila ya kuainisha S400 ni makombora
  12. T

    JamiiForums Tanzania Uturuki wametuma vifaru 20, na ndege 18 kukabiliana na Russia

    Mbona jamani mnaongeza gharamaF22 ni figher air to air na B2 ni ya kibwaga mabomu sasa hizo kazi ya hizo zinamalizwa na F117 ambayo inabeba lawaza zote kwanza ni fighter pili ni bomber na tatu ni attacker mzuri kwa hiyo kama wakuu wanayabwaga hakuna aliyesalama
  13. T

    JamiiForums Tanzania Uturuki wametuma vifaru 20, na ndege 18 kukabiliana na Russia

    Jamani hiyo S400 mwisho wake wa safari ni maili 250=km400 na F117 haionekani na rada yoyote mpaka sasa kwa hapa duniani na inauwezo wa kupiga ikiwa mbali sana
  14. T

    JamiiForums Tanzania Uturuki wametuma vifaru 20, na ndege 18 kukabiliana na Russia

    F117sthleath bomber hii haina chanjo kaka mpaka leo hii hizo s400 hazioni hapo
  15. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuvaa mawigi

    Kwanza wigi lenyewe lina harufu flani hivi kama ya midoli ya watoto
Back
Top Bottom