US says Kagame should go when term ends in 2017

USA kuingilia mambo ya Africa wanakosea lakin pia viongozi wa Africa kwann wanapenda kung'ang'ania madarakani...???
Kama mawazo, ushauri na mengineyo khs nchi si atoe km rais mstaafu akimsaidia rais aliye madarakani,
Kagame aachie ngazi muda wake ukifika, asilete ujanja ujanja hapa.
 
Unaongelea kagame yupi, kama ni huyo wa Rwanda huyo anaachia 2034 period, labda kama kuna kagame mwingine hapo mitaa ya sinza kwa remmy
 
Tatizo liko hapo kwenye 'consent of the governed'. Kwa kawaida we assume the governed to be free people, in case of Rwanda they are not. Which means hizo accessories zote za democracy kama uchaguzi, bunge, vyama vya upinzani n.k ni bure tu. Yanayoitwa maamuzi ya wananchi wa Rwanda sio maamuzi ya wananchi. Rekodi ya uhuru wa upinzani, haki za binadamu, vyombo vya habari nchini Rwanda ni mbovu sana kwa viwango vya dunia nzima. Hivi huoni kituko kuwa eti maoni yaliyokusanywa nchi nzima, waliokataa asiongezewe muda ni watu 10 tu? Do you seriously believe that? Wapinzani wa Rwanda hawako zaidi ya watu 10? Je chama kilichopeleka mashitaka bungeni hakina members zaidi ya 10?
Tukija kwenye mifano yako, Libya hawakuwa na demokrasia at all, Gadaffi hakuwa raisi. Nafurahi umeongeza Iraq na Syria, tusaidiane, je unadhani Saddam na Bashir walikuwa wanachaguliwa kidemokrasia? Kwamba wairaq na wasyria walikuwa wanapiga kura kabisa kutoka moyoni kuwa hawa mabwana watawale milele?

Well, Wamarekani hawajasema kwenye maelezo yao hapo juu kuwa watu wa Rwanda hawako huru. Huo ni mtazamo mwingine na ninauheshimu. Suala la kuwa maamuzi ya wengi sio ya ya wengi kweli,pia siwezi libishia kwa kuwa tafsiri na misingi ya demokrasia inatoa jibu. Nadhani tunahitaji kuifikiri na kuitafsiri demokrasia upya.

Gadaffi aliiongoza Libya,kwa neno lolote unaloweza kutumia. Kwenye suala la Gadaffi, Saddam na Bashir hakuna niliposema walikuwa wanachaguliwa kidemokrasia,nimezungumzia role ya wamarekani kwenye mataifa hayo matatu na migogoro iliyopo hadi sasa. Na ninachoendelea kusema ni kuwa Wananchi wa Rwanda waamue mustakabali wa nchi yao. Watayaishi maamuzi yao.
 
Hayo ni matayarisho ya vurugu maziwa makuu akiwa mbishi jeuri yake ataiona
Wamempandisha na sasa wanamshusha
 
In red..... are you serious? we should do that just for the sake of kagame? camon development and democracy in africa and world at large are best served by creation of strong instituions NOT strong man!!!
 
Huwa nawaza siku zote ni kwanini huyu Marekani asichapwe siku moja? Yeye ni nani pale Rwanda? US needn't respected if she can't respect others at all. Africa is very far away from US, culturally and politically. What is happening in the US should not be taken as a must elsewhere, this is purely wrong and impossible. It is from Africa on this aspect, that whichever is set for the continent must preserve our norms and standards. The differences between continents and societies on the other hand be taken care of. Africans must do their wishes on their own way as we yet understand that, even the so called big powers have nothing to show as a clear democracy rather, they exercise democracies as the means of extending their influence, interests and power, we may just refer to them as, good pretenders.
 
Hayo ni matayarisho ya vurugu maziwa makuu akiwa mbishi jeuri yake ataiona
Wamempandisha na sasa wanamshusha

Wanatafuta popularity nyingine kwa Afrika baada ya kwa Assadi kuwashinda....!
=====================================================
Kasi ya Magufuli imewatisha...! Ni kwa kuanzisha vita Rwanda ndipo wanaweza kurahisisha upitishaji wa silaha kuja nchini na kusababisha uharifu kuongezeka na kuonekana Magufuli hafai...! Hatukubali mara hii...!!! Wakisababisha vita Rwanda waandae Boeing zao kuwabeba wakimbizi kuwa peleka kwao...!!!
 
USA kuingilia mambo ya Africa wanakosea lakin pia viongozi wa Africa kwann wanapenda kung'ang'ania madarakani...???
Kama mawazo, ushauri na mengineyo khs nchi si atoe km rais mstaafu akimsaidia rais aliye madarakani,
Kagame aachie ngazi muda wake ukifika, asilete ujanja ujanja hapa.

Mie pia kuna baadhi ya viongozi wengi Afrika sikubaliani nao lakini hili suala la US kujifanya anaweza akawa anasimama yeye na kujifanya ndo mpangaji na mpanguaji, hatuwezi kuikumbatia hii tabia. Kagema ni mbabe lakini nadhani hiyo isiwe sababu wa yeye kuwapangia akina mugabo. Tunaelewa ana ajenda ya kuubadirisha ulimwengu kupitia vijana wanaaoonekana kuwa bendera fuata upepo kwa US kama wanavyofanya Irag, Misri n.k lakini hili ni la kupingwa kwa nguvu zote, ufreemasonry wao wakae nao huko Ulaya.
 
In red..... are you serious? we should do that just for the sake of kagame? camon development and democracy in africa and world at large are best served by creation of strong instituions NOT strong man!!!

Usiniongezee maneno. Sikusema tufanye hivyo kwasababu ya Kagame.
 
Wanatafuta popularity nyingine kwa Afrika baada ya kwa Assadi kuwashinda....!
=====================================================
Kasi ya Magufuli imewatisha...! Ni kwa kuanzisha vita Rwanda ndipo wanaweza kurahisisha upitishaji wa silaha kuja nchini na kusababisha uharifu kuongezeka na kuonekana Magufuli hafai...! Hatukubali mara hii...!!! Wakisababisha vita Rwanda waandae Boeing zao kuwabeba wakimbizi kuwa peleka kwao...!!!

Si unaona hata kujifanya wanatoa vitisho kwetu kuhusu ya Znbar? wanatafuta pa kuanzia ila mara hii itabidi kupambana nao kisawasawa, hata kurudia ya 1998 ikibidi sawa tu.
 
Wanatafuta popularity nyingine kwa Afrika baada ya kwa Assadi kuwashinda....!
=====================================================
Kasi ya Magufuli imewatisha...! Ni kwa kuanzisha vita Rwanda ndipo wanaweza kurahisisha upitishaji wa silaha kuja nchini na kusababisha uharifu kuongezeka na kuonekana Magufuli hafai...! Hatukubali mara hii...!!! Wakisababisha vita Rwanda waandae Boeing zao kuwabeba wakimbizi kuwa peleka kwao...!!!

Tatizo la hawa watu wana agenda zaidi ya zinazoonekana. Kwa akili ya haraka unaweza ona wanajali ila hakuna kitu kama hicho. Wao mfumo wao wa ukoo wa Bush kutawala kwa kupishana vipindi na sasa familia ya Clinton wanataka rudi ndio wanauona mzuri eeh? Putin nae hivyo hivyo alimuachia aliye waziri mkuu sasa na sasa amerudi kuwa Rais na yule kuwa waziri mkuu! Maigizo ya demokrasia!
 
Mie pia kuna baadhi ya viongozi wengi Afrika sikubaliani nao lakini hili suala la US kujifanya anaweza akawa anasimama yeye na kujifanya ndo mpangaji na mpanguaji, hatuwezi kuikumbatia hii tabia. Kagema ni mbabe lakini nadhani hiyo isiwe sababu wa yeye kuwapangia akina mugabo. Tunaelewa ana ajenda ya kuubadirisha ulimwengu kupitia vijana wanaaoonekana kuwa bendera fuata upepo kwa US kama wanavyofanya Irag, Misri n.k lakini hili ni la kupingwa kwa nguvu zote, ufreemasonry wao wakae nao huko Ulaya.

Naungana na wewe,
Kwa pamoja tuungane "Africans" kumpinga huyu anayejifanya baba wa Dunia "Marekani"
Watuache mbona sisi hatuingilii ya kwao?
 
bona

Tomorrow's Battlefield: U. S. Proxy Wars and Secret Ops in Africa by Nick Turse.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la hawa watu wana agenda zaidi ya zinazoonekana. Kwa akili ya haraka unaweza ona wanajali ila hakuna kitu kama hicho. Wao mfumo wao wa ukoo wa Bush kutawala kwa kupishana vipindi na sasa familia ya Clinton wanataka rudi ndio wanauona mzuri eeh? Putin nae hivyo hivyo alimuachia aliye waziri mkuu sasa na sasa amerudi kuwa Rais na yule kuwa waziri mkuu! Maigizo ya demokrasia!

behind the scene we are begging them for aid money and today we are saying they are no body we should not listen to them! ha ha ha ha
 
Naungana na wewe,
Kwa pamoja tuungane "Africans" kumpinga huyu anayejifanya baba wa Dunia "Marekani"
Watuache mbona sisi hatuingilii ya kwao?

Muungane kwanza kumaliza matatizo yenu, muungane kwanza kukataa misaada yake. Kama mnamuitaji kuwasaidia kwenye miradi yenu ya maendeleo hamuwezi kuunga kumpinga.
 
Back
Top Bottom