Recent content by Tabu ya akili nyingi

  1. T

    Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

    Ukishamaliza nenda Lumumba ukachukue buku saba yako. Unawafanyia kazi nzuri jitahidi wanaweza kukupandisha cheo.
  2. T

    Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

    Sasa mpeleke mahakamani ili tujue kwamba kweli Kubenea ni Ndumilakuwili. Sio unakuja kupotezea muda humu. Sisiemu yote imeoza wenye akili ndiyo wanaelewa. Mazuzu tu kama wewe ndiyo yamebaki.
  3. T

    Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

    Si ujitambulishe tu kwamba una bifu. Haujaisha tu ugomvi wenu mpaka leo, du!! Uo sasa utoto!
  4. T

    Ccm Hoi Handeni,Chadema Wanaelekea Kushinda

    Kweli kabisa ndugu, halafu eti yana andamana mashamba wananyang'anywa mala ooh njaa imevikumba vijiji kadhaa, wanafunzi darasani wanakalia mawe lakini wanaabudu sisiem. Binadamu hawa ubongo wao sijui unanini?
  5. T

    Wapinzani kumpeleka kasi Magufuli

    Lumumba imekupa shilingi ngapi mpaka unaweka ushuzi humu?
  6. T

    Mbunge wa Kibamba, John Mnyika aikataa ofisi ya Mbunge

    Utekelezaji si wa kimfumo yaani ni kudonyoa donyoa na kukurupuka.
  7. T

    Kama hawa ndio Mawaziri wa rais Magufuli, kweli CCM ni ile ile

    Lowassa alijiuzuru na mwenye richmond alimwacha madarakani akiendelea na richmond yake.
  8. T

    Kati ya makampuni yaliyokwepa kodi mbona hatusikii yanayomilikiwa na Lowassa?

    Amewajibika akajiuzuru mwenye richmond aliendelea kubaki madarakani.
  9. T

    Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Subili acheni papara, akikata tuhakikishe kisu amefikisha hadi kwenye mfupa ndiyo tupongeze. EPA, ESCROW, KIWIRA, STANBIC, N.K.
  10. T

    Mafisadi papa ndani ya CCM kumkwamisha rais?

    Daaa! Namkumbuka sana Kolimba. Isije kutokea kwa huyu!!!
  11. T

    Mafisadi papa ndani ya CCM kumkwamisha rais?

    Hahahaha! Na hicho kiti na kipaza sauti asitumie wakimweka kikao. Kolimba unamkumbuka.
  12. T

    Nape: CCM inaunga mkono juhudi za Rais Magufuli

    Huwa unakunywa wanzuki, chang'aa, komoni, pingu au gongo au vyote. Nahisi harufu. Kama vipi ukapumzike.
  13. T

    Nape: CCM inaunga mkono juhudi za Rais Magufuli

    Kwani leo wametoa shilingi ngapi pale lumumba? Naona ujinga umeongezeka kweli humu.
  14. T

    Nape: CCM inaunga mkono juhudi za Rais Magufuli

    Sawa, lakini hawa jamaa kwenye vichwa vyao sijui kuna nini? Hawaelewi, inawezekana wanalipwa pesa nyingi ili wajitoe ufahamu.
Back
Top Bottom