Wapinzani kumpeleka kasi Magufuli

Wapinzani kumpeleka kasi Magufuli

hivi wapinzani wana akili kweli au ni after money?
FISADI aliyetangazwa mwembe yanga kwa miaka 10 ndio mgombea wao
Fisadi aliyetemwa CCM ndio mgombea wao?
UPINZANI UMEKUFA tusubiri 2025
Sidhan kama ni vema kujidanganya na kujipa 100%100 kwa mtazamo hasi binafsi. Mbona hata nus mwaka bado achilia mbali machakato wa KATIBA??????????? MMMMMMMMMMMMM
 
siuoni usafi ama uzuri wa ccm maana ndio wao walitutenda hadi tukahitaji mabadiliko.

hawana historia ya kutenda jambo lenye manufaa kwa nchi kuliko manufaa kwa ccm.

ndio maana chama kinawekeza kwenye miradi.

Mchango wa kuungwa mkono na waelewa.
 
Wanachokitaka au wanachokihubiri..? Hivi hawa akina Sumaye, Tambwe Hizza, Masha, Lowassa, Mgeja, Kingunge, Mshenga Gwajima n. k nao unawaita wapinzani kweli..?
Embu tuwekee japo clip ya sekunde 30 za Lowasa na hao wezi wenzake wakizungumzia Ilani yao.

Tanzania hakuna upinzani ila kuna wababaishaji tu.

Dont go too far without clue brodda.
 
hivi wapinzani wana akili kweli au ni after money?
FISADI aliyetangazwa mwembe yanga kwa miaka 10 ndio mgombea wao
Fisadi aliyetemwa CCM ndio mgombea wao?
UPINZANI UMEKUFA tusubiri 2025

Lumumba imekupa shilingi ngapi mpaka unaweka ushuzi humu?
 
Lumumba imekupa shilingi ngapi mpaka unaweka ushuzi humu?
Sidhan kama ni vema kujidanganya na kujipa 100%100 kwa mtazamo hasi binafsi. Mbona hata nus mwaka bado achilia mbali machakato wa KATIBA??????????? MMMMMMMMMMMMM
vi-post vyenu vya chuki za UKAWA mpaka lini mtavileta?
kwanini msiungane na Magufuli kuchapa kazi yaani mmeumbwa KUPINGA TU KITU?
Hata huko USA walikonzuisha democrasia huwa wanaacha walioshinda watawale miaka yao minne (wanakosoa vitu muhimu)
subirini 2025
 
Last edited by a moderator:
hivi wapinzani wana akili kweli au ni after money?
FISADI aliyetangazwa mwembe yanga kwa miaka 10 ndio mgombea wao
Fisadi aliyetemwa CCM ndio mgombea wao?
UPINZANI UMEKUFA tusubiri 2025

fisadi papa ni wewe, na utakufa utaacha upinzani ukidunda
 
fisadi papa ni wewe, na utakufa utaacha upinzani ukidunda
Kichwa yako korosho kabisa
hivi kuna Waziri katokea Mkoa wako?\endeleeni kubakina Inji yenu ya kaskazini kwa kusubiri urais
FISIadi alimnyemelea binadamu akitembeaa anarusha mikono akujua utanyofoka au anarushiwa adake
ndivyo alivyo Papa wenu akiusubiri urais 2025
 
vi-post vyenu vya chuki za UKAWA mpaka lini mtavileta?
kwanini msiungane na Magufuli kuchapa kazi yaani mmeumbwa KUPINGA TU KITU?
Hata huko USA walikonzuisha democrasia huwa wanaacha walioshinda watawale miaka yao minne (wanakosoa vitu muhimu)
subirini 2025

Bora kujielewa kuliko kusubiri hadi uambiwe ulivyo. Hakuna ubishi ila ni mapema mno hata ukipinga Ukwaju. Sikila ukweli ni chuki tu, mengine ndo hali halisi na mtazamo.
 
Bora kujielewa kuliko kusubiri hadi uambiwe ulivyo.
Hakuna ubishi ila ni mapema mno hata ukipinga Ukwaju. Sikila ukweli ni chuki tu, mengine ndo hali halisi na mtazamo.Sidhan kama ni vema kujidanganya na kujipa 100%100 kwa mtazamo hasi binafsi. Mbona hata nus mwaka bado achilia mbali machakato wa KATIBA??????????? MMMMMMMMMMMMM
kama ni kiswahili ndiio hiki
mm sijakielewa
Hebu jitambueni Rais keshachaguliwa
subirini basi hata mwaka 2020
yaani siku ya 39 mnabwabwaja kisichoeleweka
haya nneshinda na Kura mliibiwa
tufunge MADA
ingua
HAPA https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/985523-neno-la-kejeli-mliomtaka-lowassa-mmesahau-mlitaka-kurudisha-nini-kwa-taifa.html
na HAPA [url]https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/985356-wote-wanaoponda-uteuzi-wa-muhongo-mwakyembe-na-nape-wapo-nyuma-ya-lowassa-na-mengi.html

[/URL]
 
Back
Top Bottom