fundi_njaa
Member
- Oct 20, 2012
- 60
- 40
🔒🔒🔒huyu ndie rais baadaya mwalimuuuu...kama vipi mwambieni atawalee miaka yote👮🏿👮🏿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kikao kimeitwisha kesho na ni dharura sana na hints. Ni kwamba kwa nini magufuli anataka kujumuisha wapinzani ndani ya serikali yake kwa kuwapa uwaziri