Mchungaji peter msigwa apewa nafasi ya unaibu katibu mkuu na mbowe, piya mchungaji na mbunge wa karatu apewa umakamu mwenyekiti wa chadema, jee kuna siri yoyote eliyojificha kwenye huu uteuzi au imetokea tu nafasi zilikuwa zinashikiliwa na waislam kwenda kwa wachungaji? Au ni mkakati...
Lazima tuangalie historia ya vyama haiwezikani mwenyekiti wa chadema akatoka kigoma ni ajabu, mwenyekiti ni lazima awe mchaga then familia ya mtei hiyo ndio familia yenye kipawa na uelewa mkubwa wa kuongoza chadema, mwenye chadema alisema mbowe ataendelea kuwa mwenyikiti na slaa agombee urais...
Mbowe shukuru mungu kuwa chadema ni mali ya mzee wako mtei, mbowe hana sifa ya kuwa mwenyekiti wa chadema. Hii nafasi umepata tu kwa kuwa unaishi na mtoto wa mzee mtei, kwa uwezo wako mdogo na utendaje mbovu kwenye baadhi ya vyama usingepata hata nafasi ya kuwa mkuu naibu katibu mkuu au naibu...
Dalili ya mvua ni mawingu huyo arifi lazima akimbie kwani mbowe ana mtu wake tayari wakumpa hiyo nafasi, hiyo ni ngo ya mzee mtei na kijana wake mbowe utabaki kama wanakutaka, ukjifanya unahoji uchaguzi wa ndani, matumizi ya fedha za ruzuku ni lazima uwambiwe wewe ni msaliti...
Umesahau kuwa mnyika alishapewa hicho cheo toka mwaka 2010 slaa alipokuwa anagombea urais ofisi aliwachiwa mnyika kwakuwa ni mtu wa kilimanjaro, zito alikuwa ni title tu ila huyo mkilimanjaro ndio kila kitu, nasikia piya ni shushu wa mbowe
Hapo ni lema au mnyika ngoma fity fity=mnyika mpare wa kilimanjaro=55 , lema meru wa arusha 45 , ila mnyika anabewbwa kidogo na mkoa aliyotoka ndio kwa kina mtei yule mwenye uwezo wakusema slaa gombea uraisi na mbowe awe mwenyekiti bila kufuata taratibu za...
Mbowe kila anayetaka kugombea uwenyekiti utamfukuza?? Au kila aliye na uwezo juu yako utamfukuza kwenye hiyo ngo ya kasikazini? Sababu kubwa ya zito kufukuzwa ni nia yake yakugombea nafasi ya mbowe na mbowe anajuwa kuwa zito ni zaidi yake, hawezi kukupambana nae kwenye uchaguzi, siyo...
Mkuu mungi kwani na wewe ni wa kasikazini?? Chadema inawenyewe nawenyywe wachaga na badhi ya watu kutoka arusha, ambao wanatumika bila kijijuwa chadema mnapoteya sana, zito ni mara mia ya mbowe kwenye siasa mbowe ni mtoto kwa zito na ndio maana anatumia nguvu kubwa kumdhibiti...
Bei nzuri ni mwezi wa february or march mkuu vumilia kidogo hadi miezi ya december na kuendeleya utapata mara mbili ya bei ya sasa ila kama una shida sana unaweza uza nusu ya hao hapo manzese mengine hifazi kama upo dar nenda manzese darajani karibu na benki ya access kuna...
Wakuu napendekeza jmosi 22.06.2013 kikao chetu tufanyie MANZESE hapo ndio penye soko la mahindi eli tukimaliza tufanye simple suvery kwani maeneo hayo ndio centre ya wakulima na wafanya biashara ya mahindi wanapokutania, eli tuwenze upata infor nyingi kwa watu mbalimbali piya mkajionea watu...
Wakuu napendekeza jmosi 22.06.2013 kikao chetu tufanyie MANZESE hapo ndio penye soko la mahindi eli tukimaliza tufanye simple suvery kwani maeneo hayo ndio centre ya wakulima na wafanya biashara ya mahindi wanapokutania, eli tuwenze upata infor nyingi kwa watu mbalimbali piya...
Kwa walio tayari tukutane tarehe 22/06/2013 jmosi eli tuanzi kufanya vikao na kushauriana jinsi ya kufanya huo mradi ni vizuri tukafahamiana vizuri . Kwahiyo wadau pangini muda mzuri wa kukutana na venue itakuwa wapi ni vizuri venue ikawa sehemu ambayo inafikika kwa urahisi kwa wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.