Recent content by Ta Nanka

  1. T

    JamiiForums Tanzania Derby ikurudiwa na vicious cycle itaendelea.

    Precedence
  2. T

    JamiiForums Tanzania Sema hii ngoma Harmonize aliandika tuache masihara

    "Wote" ni bonge la ngoma, one of the best. Imagine angekuja kumuoa Feza.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sema hii ngoma Harmonize aliandika tuache masihara

    Hata ingekuwa wewe, yule harmonize "wa malaika" we ungempitisha?
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona hauwezi kurudia round ya pili ujue tatizo ni hili

    Wanaelewaga basi hao kina "baby wako"?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Tabia ya wanawake (wake zetu) kuacha simu ovyo ni ya wanawake wote ama mimi tu?

    Mleta uzi wewe ni msukuma? Samahani lakini.
  6. T

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mlimwa C Dodoma

    Geti nimelipenda. Limetulia sana.
  7. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha ya Samia kwenye mitungi ya gesi ni ya nini? Haya ndio mambo CHADEMA wanapinga. Msimamizi wa vyama vya siasa yupo kama kipofu na kiziwi

    Uchawa sasa ni adui wa nne wa Taifa letu, baada ya ujinga, maradhi na umaskini.
  8. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika

    Anamtaka Lisu yeye kama nani? Aombe mjahalo na Heche!!
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natongozwa sana na wakaka wa Kikurya. Tatizo litakuwa wapi?

    Una nyota ya kichuri wewe, sio bure!!
  10. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizara ya Habari na Michezo pamoja na BASATA kuja na Tamasha la Kadansee la Mama Samia!

    Kwani muziki wenyewe wa dansi ni wa kwao?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa ni lazima tujiulize tunatengeneza kizazi cha aina gani? Uchawa unaimaliza nchi

    Nakazia. Uchawa sasa ni adui wa nne wa Taifa letu, baada ya ujinga, umaskini na maradhi!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wasanii -Bongo movie siwaoni Energy Summit, tatizo lugha?

    Tivu ake aombe session.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Trump aiambia Russia ichague mazungumzo na Ukraine au vikwazo zaidi hadi ifilisike kabisa

    Hiyo tafsiri yako sijaikubali, kwamba "ridiculous war" ni "vita vya kejeli"?! Ningesema "vita ya kipuuzi"
  14. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Vijana zaidi ya 1000 wafanya matembezi Dodoma kumuunga mkono Samia kugombea Urais 2025

    UVCCM si ni jumuia ya chama? Mkutano mkuu wa chama si umempitisha mama kuwa mgombea? Sasa UVCCM wanaandamana kumuunga mkono nani tena?
Back
Top Bottom