Recent content by T999ZZZ

  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Almasi

    ni pm namba yako kesho jioni ntakutafuta. Nitakuwa mwanza
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye iphne5s iliyokufa, nataka display

    samahani pia kwa kudandia. Mm natafuta kioo cha htc hd desire. Dukani vipo lkn havionyeshi.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha na kuendesha huduma za UWAKALA wa Ajira ( Employment and Recruitment agencies )

    habari jf? Kwa anaejua utaratibu wa kupata leseni na mambo yote msaada tafadhali
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    masele ubunge wa kuchaguliwa kwa shinyanga asahau kabisa labda viti maalum.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nimejiandikisha kupiga kura Serikari za mitaa

    mbona naona kama uwezekano wa kujiandikisha mara nyingi vituo tofaut upo? Au inakuaje?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete atakuwa USA kuanzia Alhamis ijayo

    huna akili pumbavu kabisa umekalia udini tu. Hebu taja muislam gani amependelewa hana vigezo? Unachuki zimekujaa mpaka unashindwa jizuia... Siwapendi sana watu kama nyinyi ndo mnarudisha nyuma maendeleo ya nchi.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Salamu za Eid Alhajj

    Neema hukuwa na bando muda wa salaam????? Au ndio ugeni????????? Aiiibuuuuuuuuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata bidha hii kwa wingi?

    We weka offer yako tuone.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Birika inauzwa bei poa sana

    Niletee kinondoni b kwa bei ya sh. 15,000
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata bidha hii kwa wingi?

    Pumba za mpunga zipi? Laini au ngumu?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nitumie usafiri gani Dar es Salaam kwenda Mpanda

    Kama unabajet ya basi nakushauri Banda basi zza tabora utalala tabora asbh unapanda za mpanda by saa kumi upo mpanda. Mbeya sikushauri maana safari ndefu sana. Nb; jitahidi kufanya booking ya mpanda tabora mapema, hata nbs waambie wakufanyie hiyo booking hapa hapa dar... Maana huwa basi...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Najaribu kufanya lkn mawazo siwezi kuyashinda
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Ntajuaje nimemaliza dkk 10????
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Welcome back.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Toyota cresta gx 100 curve 1 bei poa .

    4.5 tukutane tumalizane fasta
Back
Top Bottom