Sadick Nkinda
Member
- Feb 15, 2014
- 77
- 9
Naweza kutumia usafiri gani makini toka Dar es Salaam kwenda Mpanda.
hivi usafiri wa dar to mpand upo na ni wa aina gani
Naweza kutumia usafiri gani makini toka Dar es Salaam mpaka Dar es Salaam.
Naweza kutumia usafiri gani makini toka Dar es Salaam mpaka Dar es Salaam.
Naweza kutumia usafiri gani makini toka Dar es Salaam mpaka Dar es Salaam.
mu-sms mtoto wa mkulima akupe njia mbadala!!Naweza kutumia usafiri gani makini toka Dar es Salaam kwenda Mpanda.
Mkuu hii njia ni ndefu sana harafu tatizo lipo kutoka sumbawanga to mpanda barabara ni mbaya, unaanza safari mbeya saa 12 asubuhi mpanda mnaingia saa 5 usiku!! tena ukiwa hoi ile mbaya.bora atumie ya tabora tu ambayo ni kama masaa 6 tu.Panda basi dar mbeya-sumbawanga-mpanda. Treni sio mambo utasafiri wiki nzima.
Naweza kutumia usafiri gani makini toka Dar es Salaam kwenda Mpanda.
Mkuu hii njia ni ndefu sana harafu tatizo lipo kutoka sumbawanga to mpanda barabara ni mbaya, unaanza safari mbeya saa 12 asubuhi mpanda mnaingia saa 5 usiku!! tena ukiwa hoi ile mbaya.bora atumie ya tabora tu ambayo ni kama masaa 6 tu.