Recent content by T2020CDM

  1. T

    Dkt. Tulia: Kama wasingeenda Mahakamani ningetangaza nafasi kuwa wazi

    Hujielewi kabisa Bora ukae kimya tuu itakusaidia kuwaza mengine
  2. T

    CCM yapata kipigo kingine kikali toka CHADEMA

    Inashangaza Sana kumtetea adui yako namba moja wenye kupenda haki waanzie hapo.
  3. T

    CHADEMA: Hatutaingilia Mahakama kuhusu kesi ya Wabunge 19 kupinga kuvuliwa uanachama

    Inashangaza kuona ccm ikitetea kwa nguvu zote hawo wabunge mchongo ili hali Cuf walipowafukuza wabunge wao ccm hawakuonekana popote wakitetea, kweli CDM ni kiboko ya ccm.
  4. T

    Nani mkweli kati ya Dkt. Mollel na Dkt. Slaa juu ya Lissu kupigwa risasi. Kwanini CHADEMA wanakuwa kimya? Polisi nao mbona hawachukui hatua?

    Kiukweli Kama hili ni kweli Chadema wanasubiri nini kuchukua nchi kwa mtutu maana wameweza kupiga mtu katikati ya nchi na hawakukamatwa hatuna jeshi Sasa.
  5. T

    Huu ndio muonekano wa Shule ya Msingi Litingi iliyoko Jimbo la Mtama

    Ccm hawapendi kuambiwa ukweli maana nchi hii haijawahi tawaliwa na upinzani kila kitu kinachozungumziwa kinawahusu 100% Sasa wameona wajifiche kwa ku post yaliyo nje ya maada.
  6. T

    CCM wanaona haya ila wamekosa ujasili wa kusema.

    Sizani Kama watakuelewa maana wametia vitambaa vizito masikioni mpaka watakapo ona damu barabaran kidogo watashituka.
  7. T

    TAMISEMI kama mmeshindwa kuandaa mifumo mizuri ya watu kuomba ajira ni bora mkarudisha zama za posta. Mfumo umekuwa usumbufu

    Uko tofauti Sana na mfumo wa mashirika yasiyo ya kiserikali NGO. Mfumo kufunguka mpaka ubembeleze kweli duu.
  8. T

    Kwanini baadhi ya wana CCM wanaamini Watanzania wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?

    Wewe no mburura Kama mburura wenzako kwani katiba ni ya Mbowe au ya wananchi kaa chini fikirisha ujinga wako.
  9. T

    Upinzani unashindwa kuaminika kwa mambo ya kijinga kama mabango ya USA ziara ya Rais Samia

    Kwani kila anayeonyesha hisia take tofauti na matakwa yenu no mpinzani?
  10. T

    Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

    Tunapomsema mwendazake vibaya ndiyo tunapata tofauti ya uongozi wa Nyerere na Magufuli.
  11. T

    UVCCM mbona hamchangii ripoti ya CAG?

    Nachojua mwizi hawezi jisema mwenyewe maana Kama hawajaiba wao walioiba no ndugu za hao uvccm Sasa watachangia nini hapo.
  12. T

    Tunaomba Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu afafanue hizi pesa zimefanya nini?

    Tuna kazi kubwa wananchi Nani wa kututetea jamn.
Back
Top Bottom