Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 2,467
- 2,643
ccm ni mijiziWana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya.
Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo kuonekana siyo msimamo binafsi ni msimamo wa chama. Je,ni kosa kudai Katiba mpyasasa?