Recent content by T-future

  1. T-future

    JamiiForums Tanzania Samani za Benki ya Exim nchini kupigwa mnada

    Tutaona mengi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T-future

    JamiiForums Tanzania Rais JPM : Faidika/ Letshgo yagoma kuwalipa pesa wateja waliofuta madeni

    Bayport's fraud, hawa wote ni wanyang'anyi Wa mamboleo
  3. T-future

    JamiiForums Tanzania Noti za Tanzania ni chafu sana. BOT ifundishe watu usafi wa kutunza fedha

    Noti ziwekwe lamination!!!!! Astakhafirulah!!
  4. T-future

    JamiiForums Tanzania Wanawake na magroup ya WhatsApp

    Kukazaa.. Yani kukazaje em fafanua
  5. T-future

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    STAR TIME NAOMB kufahamu frequency za ST Swahili, St kids, st music na Clouds. natumia TV yenye kingamuzi ndani (ya sola)
  6. T-future

    JamiiForums Tanzania TTCL anzisheni Thread (Uzi) hapa JF

    Hamjambo wakuu, Tunaomba Tanzania Telecom Corporation Limited (TTCL) muanzishe uwanja wa kupokea maoni, critics, na ushauri katika Jamvi pendwa la Jamii Forum kama baadhi ya mashirika na kampuni zilivyofanya mfano Vodacom, Tanesco, NMB n.k Nadhani pengine mnakurasa katika mitandao mingine ya...
  7. T-future

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi: Marufuku kuzika kwenye vihamba Kilimanjaro

    Kekekekeke yeto!!
  8. T-future

    JamiiForums Tanzania Wanawake na magroup ya WhatsApp

    TB Joshua anahitajika. Hilo ni pepo (in mkandamizaj voice
  9. T-future

    JamiiForums Tanzania Wanawake na magroup ya WhatsApp

    Nimefuta magrupu yote wasap hasa ya michango. Na kubakiza kundi Moja tupo wanaume wane
  10. T-future

    JamiiForums Tanzania MSAADA TATIZO CAMERA YA TECNO

    Umenisaidia?
  11. T-future

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

    Kasome, ka practice uje na mrejesho kama mim,
  12. T-future

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

    Mapigo mengi yalkua alfajir na usiku
  13. T-future

    JamiiForums Tanzania MSAADA TATIZO CAMERA YA TECNO

    wakuu habari zenu,, Natumia TECNO toleo la zamani kidogo (TECNO N8), tatizo lake kwenye Camera ni pale ninapotaka kupiga picha ID ,mfano voters ID, NIDA, Driving Licences n.k kwa ajili ya usajili, ku scan bar code, au subscription yeyote inayohitaji caption ya ID card kwenye app. Camera...
  14. T-future

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

    Hahhaha haya nimesikia mkuu
Back
Top Bottom