Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

Hahaaaaa kinachonoga mimba lazima inase sijui kwanini? Mi napenda watoto wa kike lazima nitegeshe three day kabla ya ovulation ambayo ni siku ya 14
How sure kwamba ovulation inafanyika cku ya 14, je n siku ya 14 asubh, mchana, ama jion?
 
Doggy style halafu ukikojoa apumzike asikimbilie bafuni.
Pia iwe saa 10 au 11 alfajiri wote mmeshatoa uchovu wa siku.
Vyakula Dona korosho karanga ndizi mbivu
Piga siku ya 14 au 15 tangu ameanza MP
Je ukipga siku ya 14 asubhi, ama jion usiku hapo inakuwaje!? Je kama umepizz na akaenda kunawa, je mbegu za kiume zenye mwanaume zinaweza kuathiriwa regadless umepga siku ya 14!?
 
Itategemea mzunguko wake ni ule mrefu au mfupi mkuu. So Ili kupata ke inabidi two days before ovulation. Maana yai la kike lina survive mda mrefu sana. So kwa huyo ilikuwa sawa
Je ukifanya hapo na akatokea wa kke? Mfano me wangu aliwahi kuingia bleed tarehe10 ya mwez wa 7, mwaka fulani, na nikafanya nae tendo tarehe 23.07 ya mwaka fulan, alijifungua wa kke, shida n nn hapo?
 
Hiyo siku ya 14 huwa ni balaa sana cariha mimi zamani kabla sijazaa nlikuwa napenda wa kike, ila sasa hivi napenda wakiume wote, hapa ninao wawili nataka kuongeza wawili wawe 4, raha sana kwanza ile kuona alfajr kamesimamisha yap yap unaona jogoo kabisa.

Mtoto halali na hela tunamsaidia mleta mada anafuraha ya kupata kidume, bado hajatoka hospital.
Ulishawah kufanywa siku ya 14 muda upi ukawa umepata wa kiume!?
 
Kumbe mimi hodari maana sina wa kike hata mmoja,watano wote madume,hongera zangu baba nanihii kwa kuzijua style wanazozitafuta wengine kwa gharama kubwa sana.
Asante mungu.
Ni kweli uliwahi fanya siku ya 14 ama ulifanyaje ww
 
Doggy style halafu ukikojoa apumzike asikimbilie bafuni.
Pia iwe saa 10 au 11 alfajiri wote mmeshatoa uchovu wa siku.
Vyakula Dona korosho karanga ndizi mbivu
Piga siku ya 14 au 15 tangu ameanza MP
Sasa hizo ndizi mbivu si utamjambia mwenzio, swine embu acha ulofa
 
nlichogundua ni kwamba ulitaka kuutanabaishia umma wa jamii forums kua una mtoto nje ya nchi na ni wa kike!!
nzuri iyo itakujenga.
 
Wakuu hamjambo,

Nimejifunza kutopuuza uchunguzi na ushauri Wa wataalamu,

Nilikuwa na mtoto Wa kike wa kwanza, na mwingine nje ya nchi, Wa kike.

Nilitumia mbinu zinazoshauriwa na wataalamu ili kupata mtoto Wa kiume na hakika imekuwa.

Style zote + Special Nutritional food
NOTE: Nimeoa.


Functioned!!
vipi kuhusu kupata mtoto wa kike?maana mimi napataga watoto wa kiume tu
 
Back
Top Bottom