Hatari kubwa ya nyoka wa black mamba ni kama hutakuwa na antivenon yake karibu.
Hiyo jamaa anacheza na hao nyoka akiwa na antivenon sahihi kila muda
Nadhani kwa upande wa malipo hiyo ni moja ya contents kwenye programu za dstv atakuwa analipwa huko
Hii boom ya magari ya Kichina sasa, itakuja kuleta burst huko mbele ya safari.
Banks wao wanajali faida zao tu, watu wanpodefault kwenye mikopo anayenufaika ni banks pekee.
Hiiikopo. Ya magari imesababisha watu wengi kufanya biashara moja kwa kutumia tools aina moja, na kugombea soko moja...
Business dynamics ndo zina dictate soko.
Banks hazifinance kirahisi gari ya mzungu, daf Volvo Scania etc. Kwa sababu zikiwa mpya unit cost ni ghali, zikiwa mtumba zinakuwa sio reliable.
Gari za kichina zinakuja zero km, banks zinaona ni sahihi kuweka pesa huko
Watawala watakuwa wanafurahi na ku relax wanaposoma haya mawazo yetu kuhusu ajali zinazoendelea nchini.
Tuna tatizo lakini hatuliongelei, badala yake tupo kulaumu madereva na polisi kulegalega .
Highway inayohudumia nchi karibu kumi ni single carriage halafu tunashangaa head on collisions...
Kwa mujibu wa prof janabi vyoo vya kuchuchumaa ndio chanzo kikubwa kwa wenye presha kuanguka vyuoni.
Choo cha kukaa kinahitaji usafi sana na maji yawe sio tatizo . Ila ni kizuri zaidi kiafya.
Ushauri mzuri ila kabla latra hawajacopy mfumo huo hebu kwanza mahakama zetu na polisi wakopi mifumo ya huko kwanza.
La si vyo watu wataonewa sana.
Usisahau pia Tanzania tunatumia magari mitumba na hata haya mapya ya Kichina mengi hayawezi kuruhusiwa kukanyaga barabara za Uk. Kutokana na...
Camper van sio realistic kwa maisha ya bongo
Hapo upate 4x4 halafu unavuta caravan trailer , utakwenda popote unapotaka
Ni maisha mazuri sana kama pesa
Hewaaaa
Wachaga wanajua sana kutafuta pesa ila nina mashaka kama wanajua thamani ya maisha yenyewe.
Mtu anayeshindia karanga nfukoni ana milion hana tofautiana huyu aliyemuua mkewe kwa ajili ya mali ambazo hata yeye sasa hatazitumia tena
Camper van sio realistic kwa maisha ya bongo
Hapo upate 4x4 halafu unavuta caravan trailer , utakwenda popote unapotaka
Ni maisha mazuri sana kama pesa ipo
Adidas polo zipo !!!
Sema bei ni mkasi mfano hiyo hapo brand new plus shipping ni kama dola 99
Tra wakidai chao hiyo t shirt inaweza fika hadi laki nne
Muziki wa rnb unatoa jukwaa zuri kwa multi octave vocalist ku shine .
Ni sababu ya maria Carey kuonekana Bora kwa sababu alikuwa anazitumia octave zone kwenye track moja
Sikiliza wimbo wa 'when you believe ' Kuna dialogues anafanya na Whitney Houston , huku akitumia Sauti tofauti tofauti...
Kitaalamu wanaitwa multi octave artist, maria alikuwa no 5 octave , Vesta Willis alikuwa ni 4 octave
Yup moja nimemsahau yeye alikuwa haimbi rnb Ila alikuwa na 8 octave
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.