Search results

  1. t blj

    Jirani kanikwaza sana kajenga fensi

    People are lonely because they build walls instead of bridges.
  2. t blj

    Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Sukari inayosababishwa na hitilafu ya kongosho siyo maarufu sana huku kwetu, (type 1) huwa inatokeaga tu kongosho haitoi insulin au ikazidisha insulin, type 1 diabetes sio lifestyle disease! Ni ugonjwa sana sana wa kurithi( genetic) Inayosumbua sasa Africa ni type 2 diabetes hii sasa ni...
  3. t blj

    Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Umeongelea upande mmoja ukaacha mwingine, ni kweli insulin inatumika ku regulate glucose, lakini inategemea wingi wa glucose, ulaji mbaya wa chakula husababisa glucose kuwa nyingi kuliko uwezo wa insulin, (insulin resistance,) na hapa ndo tatizo la sukari huanzia. Na ndio hiyo. Huitwa type 2...
  4. t blj

    Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Ogopa sana sukari ikishafikia kwenye kuleta ukhanithi!!! Mzigo unaona kabisa huu hapa!! Halafu chombo haisimami!!! yani kama hakuna kilichotokea 🙂 unaeza kulia!!
  5. t blj

    Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Sukari ina uhusiano mkubwa sana na upofu pamoja na urijali, Huwa inaua mishipa midogo ya damu na moja ya mishipa hiyo ni ilie inayosimamisha uume pamoja na macho
  6. t blj

    Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Ukifanya mazoezini au kazi ngumu unaunguza au kutumia sukari nyingi kama energy. Ukiwa unakula tu na haufanyi mazoezini hii sukari inalundikana mwilini na ndo hiyo huleta ugonjwa Bush dokta kwa msaada ya gugo
  7. t blj

    John Dilinga Matlow, mrithi halali wa Gardner Habash

    Madhara ya uchawa!! Wanauliza maswali mepesi ili wapate huruma ya kuteuliwa na viongozi.
  8. t blj

    Kwanini kuku anavuka barabara?

    Kuna jamaa anatembea na kanga mjini na wanatii amri zake ikiwemo hiyo ya kuvuka barabara! Kanga walivyo wajanja lakini kwa jamaa hawafurukuti
  9. t blj

    Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Pascal mayalla aliwahi kuelezea hii scenario ila aliizungumzia radio Tanzania ilivyopoteza watangazaji wengi,
  10. t blj

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Sidhani kama bara wanataka huu muungano, Sema viongozi wa bara muungano kwao una faida
  11. t blj

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Sidhani kama anaweza fanya kosa la hivo, kisa kinaweza kuwa cha kweli ila wahusika na locations zinaweza kuwa twisted ili kulinda privacy.
  12. t blj

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Norway alitoka 2019, muyajenge tu wakuu yanazungumzika haya!! On a serous note nimependa sana ulivyonyooka kwenye maelezo. Ni wanawake wachache sana wana ushujaa kama wako
  13. t blj

    Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10

    Mkoa wa pwani kwa sasa nadhan ndio mkoa wenye viwanda vingi kuliko mikoa yote nchini, halafu pwani ina advantage ya kuwa karibu na Dar.
  14. t blj

    Kama umeweza kupunguza stress zako bila kilevi tusaidie mbinu uliyoitumia

    Music unatatua matatizo yangu mengi ya stress Kuna Muda inakuwa down sana kwa stress, nikisikiliza amapiano zangu kadhaa ninazozipenda, nakaa sawa!
  15. t blj

    Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Na wewe ni muumini wa msemo wa wanawake wa mtwara? Wanamsemo wao "mwanaume muombee njaa mkalime vibarua" kwamba mwanaume akiwa na pesa haiwezi kutulia na mwanamke mmoja.
  16. t blj

    Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10

    Kuingia na bajaji barabarani kunataka aina flani ya ukauzu na kujikataa bila kusikiliza maneno ya watu. Kinachokwamisha wasomi wetu ni kuona aina fulani ya kazi ni kwa ajili ya waaliofeli tu, mfano hiyo ya bajaji Hii ni thread ya tatu ndani ya wiki, ya mtu ana mitaji wa 10+ millions halafu...
  17. t blj

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    50 ni predicted lifespan yetu waafrika kama. Unajishughulisha na shughuli za kutafuta rizki!, 60 ni bonus. Hii ni Zaidi kwa wanaume wanawake kidogo wanaeza enda hadi 65
  18. t blj

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Mafia ni wilaya ya mkoa wa pwani bwashee
  19. t blj

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Kule mtwara wanawake wana msemo wao" mumeo muombee njaa mkalime vibarua mrudi nyumbani" Wanamaanisha kuwa ukwasi kwa mwanaume na ndoa huwa havikai pamoja.
Back
Top Bottom