Recent content by Syzygus

  1. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Mo Ibrahim Ni Wabaguzi?!, Haiwezekani, Tanzania, Tufanye Mazuri Mengi Lakini Hawayaoni?!.

    Punguza jazba, hiyo ni tuzo maalumu kwa ajili ya kuhamasisha utawala bora Afrika, yeye ni Mwafrika, anajua matatizo ya Africa yanasababishwa na uongozi mbovu na ufisadi. Penye utawala bora maendeleo ni dhahiri na ufisadi ni mdogo. Hebu jiulize, kwa nini nchi za Mashariki ya Mbali ambazo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la Waislamu Tanzania limemchagua Sheikh Abubakary Zubeiry kuwa Mufti wa Tanzania

    "..... Mwenyezi Mungu hahitaji kutumikiwa ". Madam, are you okay? Au umekosea kuchapa?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Viwanja kwa ajili ya makazi Mkuranga, Chanika, Kigamboni na Masasi Mtwara

    Hiyo bei ya 10,000/- hadi 15,0000/-per sq unapewa na hati? Juzi UTT wamesema wanauza viwanja Kigamboni karibu na NSSF /Real Madrid Academy @ 9,000 /- per Sq meter na unapewa na hati.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Swali: Madhehebu ya wakristo

    Anayeokoa ni Yesu Kristo pekee, sio Martin Luther, Pope, Gwajima, au mwingine yeyote maana hakuna Jina lingine tulilopewa wanadamu chini ya mbingu litupasalo kuokolewa kwako ILA Jina la Yesu pekee.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utafiti REDET 2015: Lowassa, Dr. Slaa waongoza mbio za Urais

    Redet wamerudi! Nilidhani imeshakufa baada ya kipindi cha ufadhili kuisha. Inaonekana wamepata wafadhili wapya.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu una mwisho, ndiko tunakoelekea

    May God forbid it, God forbid. Amen.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni - Julai 04, 2015: Spika aamrisha wabunge wa Upinzani kutolewa Bungeni

    Unayesoma na ku-comment utakuwa ----- zaidi. Busara ni kujizuia ku-comment kwenye mambo ya kibwege.
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

    Bila shaka unajua mahali pa kumpata mume wa aina hiyo. Nakuombea kila la heri. Baba yangu alikuwa analewa hadi anaanguka na nikajiapiza sitakunywa pombe. Namshukuru Mungu hata kuonja siionji.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    UKAWA waliobaki nao wafanye vilevile kama jana halafu tuone kama watawasimamisha wote kama walivyowafanyia wenzao.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

    Hapa umeeleweka vizuri. Hapa hueleweki maana unazungumza tofauti na ulichozungumza awali. Tukueleweje? Au nawe umechanganyikiwa kama Spika?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kati ya spika na John Mnyika?

    Hii miswada ya dharura inashusha hadhi ya Serikali sana, sijui kwa mini Wabunge wa CCM hawaelewi! Miswada ya aina hii inaivua nguo Serikali kuwa inaongozwa na matukio, haina vipau mbele, na inakurupuka. Kwa hiyo wapunzani wakisema Serikali ya CCM imefeli kwa kila kiti, imechoka, au ni dhaifu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mulugo: Tumekamata vijana walio taka kuharibu mfumo wa BVR wakijifanya maafisa wa NEC

    Rutta, kweli wewe huna tofauti na Mulugo! Huyo Mulugo alipovuliwa Uwaziri ndio akapelekwa Mwanza kuwa Mkuu wa Mkoa!
  13. S

    JamiiForums Tanzania NEC watishia kusitisha zoezi Arusha na Kilimanjaro

    Polisi wanapofanya kazi ya kuandikisha wapiga kura kwenye BVR, Lubuva Kimya! Watu wanapolala siku mbili vituoni, Lubuva kimya! Chadema wanapohamasisha watu wajitokeze kwa wingi kujiandikisha, na kuhakikisha wanaandikishwa Tume inalalamika! Haya ya Lubuva nadhani ni madogo, watakuwa wamejipanga...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Niko full, Nina jambia la kuchinjia chama Uchaguzi Mkuu

    Mkuu, ule utaratibu wa hesabu ya kura za Urais kutumwa Makao Makuu ya NEC na Mkurugenzi wa Halmashauri umefutwa? Hapo ndipo MAGAZIJUTO hufanyika.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kujiandikisha bila bughudha kwenye BVR Arusha uwe na sh 30,000/=

    Ufisadi Tanzania umeasisiwa na CCM, sishangai na sitashangaa maana Watanzania tumlelewa kirushwarushwa, na ili uweze kupata haki yako, unawekewa mikingamo mingi hadi uacha hata elfu moja.
Back
Top Bottom