Recent content by sysafiri

  1. S

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huu Ndio Muonekano Wa Dkt Slaa Kwa Sasa. Anatia Huruma Sana

    Mbona yuko vizuri tu?
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANZANIA YAPATA FURSA NYINGINE ZA AJIRA 4,500 NCHINI QATAR

    Kwa majirani zake na Wajomba! Hapo kama wewe siyo mfuga ndevu,kanzu na kufunika uso sijui kama kama utapata nafasi hizo.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Eli Nino inatoka Kwa Mungu ama Kwa shetani?

    Hata huko kwingine majanga yanakotokea wanakuwa wameomba na kukemea! Lakini yanatokea.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Abiria wanaopanda bodaboda wasio na leseni nao watozwe Faini. Kabla hujapanda boda, uliza leseni kwanza

    Mshukuru Mungu kwa kuwa ulifika salama!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Fanya upelelezi wa kutosha kujua huyo mtu aliyekuwa naye wana uhusiano gani ili uwe na amani ya kuendelea na hatua zinazofuata!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Paul Chacha anatakiwa kukamatwa kwa Uhaini, kwa Kauli kuhusu Vyombo vya Ulinzi

    Naona anaropoka tu! Kama hatukusika CDF au IGP akitoa tamko kuhusiana na matamshi ya Chacha ujue hiyo imetoka!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Putin super power wa mchongo

    Bado no Mwamba! Kama anapigana na NATO na US ndani ya Ukraine! Kwa nini asiwe Superpower?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu si mahiri kwenye sheria, bali ni mahiri sana katika kuwahadaa wafuasi wake, hususani wasio jua sheria

    Mbona CCM mnamwogopa sana Tundu Lisu?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

    Kwa hiyo kwenye Swala na mifungo wanaye?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Lissu kwa kuwapasulia mahakama ukweli: kesi ilitakiwa kufutwa siku ya kwanza imeletwa mahakama kuu.

    Mkuu si inaeleweka kuwa hizi mahakama ni za CCM?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka Sasa nimezika ndugu zangu mia Moja (100)

    Picha imenipa kufikiri tofauti! Daktari ndiye huwa anashudia vifo vya watu wengi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

    Kwa Afrika siyo culture yetu! Lakini kwingeneko duniani wanafanya,nadhari Asia ya Kati na Mbali wanafanya hivyo mf.Wahindi,nk
  13. S

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya Afya ya Jeshi(JWTZ) haitusaidii Wanajeshi na Familia zetu

    Changamoto za Bima siyo jeshini tu! Hata sekta nyingine za umma. Labda hapo kwenye huduma za kibingwa ndiyo najiuliza mnafanyaje kama wakubwa ndiyo pekee yao wanapata?
  14. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor

    Hayo malalamiko nadhani ungeyapeleka TCU na Wizara ya Sayansi na Teknologia!
Back
Top Bottom