Habari zenu jamani,poleni na majukumu yenu ya kila siku.
Wadau naomba msaada kujua ni jinsi gani mtu anaweza kujiajiri kwa kutumia mtandao mfano INSTAGRAM.Ni biashara gani mtu anaweza ifanya instagram isiyo hitaji mtaji wa kuianzisha na akajipatia kipato?
Habari zenu humu ndani jamani. Ningeomba mnisaidie kujua kama kuna dawa ya kuacha ushoga au namna ambayo mtu anayefanya ushoga anaweza akasaidiwa kuacha. Nina mdogo wangu wa kiume ana miaka 28 sasa, elimu yake ni degree. Alishafanya kazi sehemu lakini kwa sasa hana kazi(anatafuta).
Hivi...
Wanachezea akili zetu hawa,wametangaza kazi recently ila email address(dhra@nssf.or.tz) yao kila ukituma maombi inarudisha majibu kwamba imefeli na wametoa condition ya kuappy kwa email tu,isije ikawa kazi mshapeana mnatuzuga tu......
Halafu sms yenyewe wameituma saa tano na nusu usiku,hawa nimatapeli ambao either hawajaenda shule,au hawana ujuzi,ni kampuni gani inakutumia msg ya kazi usiku.....
Niliomba kazi mbili tofauti ZOOM kampuni moja inaitwa TIRD jingine TANZANIA LABOUR FOUNDATION COMPANY,cha kushangaza namba ya simu moja imenitumia msg tofauti eti naitwa kwenye interview kwa kazi mbili tofauti tena makampuni mawili tofauti jana walinitumia msg "
Habari,
Kesho tarehe 27/08/2015...
Mimi pia nimepigiwa simu ila nimeambiwa niende tarehe 12 saa nane mchana na picha naona watu wameambiwa mbili ila mm nimeambiwa tatu,mara ya kwanza alinipigia akanambia niangalie email wamenitumia email ya kuitwa kwenye interview,nikaangalia sikuikuta nikampigia tena bahati nzuri alipokea...
Jamani nimeota nambusu Ex wangu ambae alikufa ila alikufa wakati tukiwa tumeachana tayari, alipata ajali wakati anakimbizwa hospitali akafia njiani miaka mingi kidogo ila cha kushangaza eti leo nimeota nimeingia chumbani sijui wapi nikamkuta anapiga pasi nikafurahi kweli nikambusu mdomoni mara...
Jamani kwa wale wadau waliokuwa wanasubiri kuitwa kazini NHIF, watu wameshaitwa tayari na orientation wanaanza jumanne, kwa wale waliopata kazi hongereni na kwa wale waliokosa msikate tamaa till next year.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.