Recent content by Symonjerry

  1. Symonjerry

    INAUZWA Huawei ethernet switch for internets

    Naiuza bei poa tu mzee nataka 2M ukiwa serious nicheki tuongee zaidi 0744885518 au 0652414900
  2. Symonjerry

    INAUZWA Huawei ethernet switch for internets

    Hey Jitokezeni basi wataalamu wa Networks
  3. Symonjerry

    INAUZWA Huawei ethernet switch for internets

    Mbona sijaandika bei yoyote kaka. Ila naiuza 2.5Milion maongezi yapo pia kwa aliye serious
  4. Symonjerry

    INAUZWA Huawei ethernet switch for internets

    Switch bado ni mpya kabisa na box lake lipo. Mwenye Uhitaji na hiyo switch hapo inapatikana kwa bei rahisi sana kwa ambae atahitaji anicheki kwa namba 0652414900 au 0744885518 Location- Dar es salaam. Specification zake ni [emoji116] Model: S5720-52P-PWR-LI-AC Ports: 48ports 10/100/1000 base T...
  5. Symonjerry

    Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Daaah very interesting wallah Lakini maisha yana definition pana na fumbo gumu sana kulitambua yahitaji akili kubwa na hekima ya hali juu. Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
  6. Symonjerry

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Watu wapo kimya. Nini kinaendelea Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
  7. Symonjerry

    Ni lipi basi zuri la Dar - Mwanza?

    Duuh Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  8. Symonjerry

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Daah Mungu ainusuru Russia Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  9. Symonjerry

    Je, Rais wa Tanzania aweza kuitwa Mahakamani kama Shahidi wa Utetezi kwenye kesi ya Mbowe na Wenzake watatu?

    Hii issue ipo hapa imeelezewa vizuri sana Rais Jakaya na waziri wake Magufuli waliitwa pia kama mashahidi upande wa utetezi lakini hawakutokea[emoji116][emoji116][emoji116] Kuna kesi nyingi kubwa zinazohusisha watu maarufu zilizowahi kufunguliwa na kuamuliwa kwa nyakati tofauti katika historia...
  10. Symonjerry

    Naomba ushauri wa kisheria namna ya kumshughulikia jirani anayenitukana

    Aaah nimekua nikisoma na kuambiwa kua Ni kosa la jinai kujichukulia sheria mkononi kama hakuna uladhima wa kufanya hivyo.... Yani ingekua ni kama njia ya kufanya self defence basi ingenibidi nifanye hivyo.. Lakini kwasasa yanipasa kutumia njia sahihi.
Back
Top Bottom