Mkuu,labda Kuna jambo ulitaka kusema lakini haukulisema,mahakama imezingatia hoja ya kwamba Dr hakumtaliki rasmi mkewe wa kwanza wakati anapofunga ndoa na Vicky..kwahyo ndoa ya Dr na mke WA kwanza ilikua hai kisheria Hadi pale huyo mama alipofikwa na umauti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.