huenda kuna ukweli ndani yake lakini pia wakati mwingine mwanaume ukiwa na demu mkali inafika point unakuwa hujiamini amini hivi ko hata asipopokea simu unaanza kuwaza na kupata taaabuu!!!! Ila ukitaka kuishi kwa amani na binti mzuri basi awe amekupenda mwenyewe na sio wewe ndo unajiliza liza...
kukaa na kusifia chuo Fulani in bora kuliko kingine ilihali wewe uliyesoma hicho chuo unalialia tu na huna uwezo ni umburura. ubora wa chuo unategemea vitu vingi + ubora wa wanafunzi uliowadahili. lakini siku ya siku hii product uliotoa inaenda kukabiliana vipi na changamoto zilizopo katika...
mi nadhani wanakuwa na mambo yao tu cuz just imagine hata sirikali kuhamia dodomiya imefanyika but mpk sasa bado hawajajitosheleza,hata udom wakati inaanza ilikuwa haijajitosheleza hata sasa bado haijasimama 100% ,nadhani hanaenda kisiasa tu,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.