Sawa, kama mwenyewe ulivyoanza kwa kubainisha kuwa wewe c mwanasiasa, ndugu maisha ya bnadam yanategemea mifumo ya siasa. Na ndo maana inasemwa maisha ni siasa, wakati wa chaguzi ni kipindi muhim cha kujiwekea dira ya maisha na maendeleo ye2 kwa ujumla. Lakin utakuta wengine wanasusia kupiga...
Ndugu hiyo ni point! Mimi ninaposoma malumbano FB nakuta m2 ajui lolote anaitetea ccm kwa nguvu zake zoote, maskini ya Mungu, mpaka natamani kutoa machozi mimi!
Tatizo ufahamu wenu ni mdogo juu ya mpango mzima wa maoni ya Katiba. Kuna awamu tofautitofauti katika uundwaji wa katiba; hatua yakwanza ilikuwa ni ukusanyaji wa maoni toka kwa wananchi kupitia tume, pili mabaraza ya katiba, kisha taasisi mbalimbali na vyama vya siasa. Sasa CHADEMA kama...
Tatizo ufahamu wenu ni mdogo juu ya mpango mzima wa maoni ya Katiba. Kuna awamu tofautitofauti katika uundwaji wa katiba; hatua yakwanza ilikuwa ni ukusanyaji wa maoni toka kwa wananchi kupitia tume, pili mabaraza ya katiba, kisha taasisi mbalimbali na vyama vya siasa. Sasa CHADEMA kama chama...
Kiukweli Watanzania tunaweza kufanya maajabu katika maendeleo. Cha ajabu inakuwaje tuweze kuendeleza nchi za wenzetu tu!!?? Nadhani jibu laweza kuwa serikali yetu ndo potofu, akitokea mtu wa aina ya Prof. kama huyu, basi hapati suport na serikali, zaidi atafanyiwa majungu ili kumkatisha tamaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.