Recent content by syano

  1. syano

    Mwl Nyerere Memorial Academy wanaripoti lini chuo?

    Wakuu vipi kuhusu st.john dodoma masomo yanaanza tareh ngap?
  2. syano

    Nahitaji marafiki!

    Mbona wasiwasi kibao mkuu
  3. syano

    Nahitaji marafiki!

    Hahahaha
  4. syano

    Nahitaji marafiki!

    Mi n ME
  5. syano

    Nahitaji marafiki!

    Vizuri..!
  6. syano

    Nahitaji marafiki!

    Teh tehe, hata nje ka ngoz but kwa night n mda wa kupumzika
  7. syano

    Nahitaji marafiki!

    Stokagi usiku mkuu,, Thankyou..!!
  8. syano

    Nahitaji marafiki!

    Habar zenu wakuu,.. Nikiwa nimechill mitaa flan hiv ya dom town (dodoma) , nahis nko lonely coz mi n mgeni pande hizi So I need friends tubadilishane mawazo.. Jinsia yoyote , njoo pm tuexchange contacts then tuyajenge... Asanteni...!!
  9. syano

    wakuu hebu tuweni serious basi..!!

    Wakuu bado nasubiria kaz kutoka kwenu..! I need to work..
  10. syano

    wakuu hebu tuweni serious basi..!!

    Nshawazoea mkuu , maana m sio mgeni Sana humu jf
  11. syano

    wakuu hebu tuweni serious basi..!!

    Natumai mu wazma wa afya, mkijiandaa kuupokea mwaka mpya ,kwa neema ya bwana sote tutafika 2017...!! Mwaka 2016 utakuwa n mwaka ambao stokaa nkausahau katka historia ya maisha yangu kwasabab n mwaka ambao nimekumbana Na changamoto mbalimbali ambazo zimenifanya niamin kuwa Kila mafankio Yana...
  12. syano

    Piteni hapa tujenge uchumi

    Niko dodoma mkuu, Kuhusu ujuzi wa computer najua basic application tu,lakini nnauwezo wa kujifunza pia
  13. syano

    Piteni hapa tujenge uchumi

    Habari wakuu, Mimi Ni kijana mchapa kazi , mwenye uwezo wa kujifunza kwa haraka, ni mwaminifu,mbunifu na mwenye mawazo chanya, Umri ni miaka 21 Elimu yangu ni kidato cha sita Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kwa ajili ya kutafta kibarua Ili niweze kujikimu kimaisha. Nina uwezo wa kufanya kazi...
Back
Top Bottom