Nahitaji marafiki!

syano

Member
Jul 17, 2016
26
20
Habar zenu wakuu,..


Nikiwa nimechill mitaa flan hiv ya dom town (dodoma) , nahis nko lonely coz mi n mgeni pande hizi So I need friends tubadilishane mawazo..

Jinsia yoyote , njoo pm tuexchange contacts then tuyajenge...

Asanteni...!!
 
Hii style ya kubadilishana namba pm tena na id mpya siyo nzuri, watu wanatafutwa kwa kila njia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom