Mwl Nyerere Memorial Academy wanaripoti lini chuo?

Antony Jr

Member
Feb 21, 2017
53
4
Kama upo Mwalimu Nyerere memorial academic naomba kuuliza waliochaguliwa Apr na March wanaripoti lini? Wakuu msaada!
 
Je kwa nino mnakwenda vyuoni?? Tafakati kwa kina, has a zama hizi za Magu
 
Unawezajua deadline yao Lin mwenzio npo kijijn network shida nmechaguliwa pale lkn cjajua form ntapataje mpaka sasa mkuu
Fomu zinapatikan chuon, but kuanzia Leo ukichelew 1day kuripot fain 5000, na itaenda kwa siku 7 baada ya apo ukiwa ujaripot wanafuta udahili wako . then ukitak nafas ten unabid uapili.
 
Kingine kwanz wew ukupigiw cm au kutumiwa SMS mbon watu walikuw wakipigiw cm na kutumiwa SMS zeny maelekezo yote
 
Kama unaweza kuwa na no au mawasiliano yyte unisaidie maana huwez toka uku ujui mavaz ada nk mkuu
 
Kama unaweza kuwa na no au mawasiliano yyte unisaidie maana huwez toka uku ujui mavaz ada nk mkuu
Kifup funga safar kachukue fom chuon kam jina lako lipo watakupa fomu yako Bure ila kama unajua ujadailiwa pale usijisumbue kwenda. Coz fom ndo inamaelekezo yote ada,upande wa mavaz naomna ni ya kawaids tu nguo zisikubane na zisiwe fupi San kwa watoto wa kike
 
Nashukulu kwa mawazo yako mkuu asante
 
Back
Top Bottom