Recent content by swrc

  1. S

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    mleta mada ni short-minded
  2. S

    JamiiForums Tanzania WAITARA AKOLEZA MIGOGORO na kuvuruga CHADEMA TARIME, nani kakutuma kwa haya? CCM au?

    kama ndivyo, basi kazi imeanza, na Je tutafika?
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hakitapokea wanachama wapya wa vyama vingine

    hakuna ukweli kwa hili kwa jinsi ulivyoandika. wanachama wapya ni LAZIMA ila inategemea ni wanachama wa aina gani
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe kuhutubia mkutano mkubwa leo Mbeya

    safi sana na isiwe mijini tu
  5. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    mara nyingi najiuliza na nadhani nakufuru kwamba ni kwa nini nimezaliwa tz. hivi sasa nchi haina mwenyewe, kila kitu songombingo na kila siku ikipita aheri ya jana---- hivi kwanini?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Shonza Na Mkakati Wa Kuiua CCM....

    sidhani kama nitishio kwa hivi vyama
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mkono mwingine wa Mwigulu Nchemba ndani ya CHADEMA huu hapa!

    chama cha magamba, mafisadi, majizi, maongo,nk
  8. S

    JamiiForums Tanzania Zitto alinikataza nisiwe rafiki wa Saed Kubenea - Asah Mwambene, Mkurugenzi Habari/Maelezo

    unapoambiwa jambo changanya na zako
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ninakwenda mafunzo ya JKT...

    hayo sio mafunzo ya kijeshi nadhani wanakwenda warsha au semina. mafunzo gani ya kijeshi ya wiki tatu?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wote someni hapa

    huo ni mradi mkubwa na lazima uwe na uelekeo wa kibiashara
  11. S

    JamiiForums Tanzania Salma Kikwete Cheo chake ni kipi kikatiba?

    katika awamu zote za urais huyu mama anatia fora na kule lindi mjini Burhani hana chake 2015
  12. S

    JamiiForums Tanzania KUFUNGIWA REDIO IMAAN NA NYINGINEZO: haki haijatendwa!

    redio za namna hiyo zifungiwe maisha, sioni sababu ya kufungiwa kwa muda
  13. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya FBI kutua nchini, sasa Redio Imani wakimbia kivuli chao, wahubiri amani

    mleta mada amesema ukweli. Ni nani asiyejua yaliyokuwa yanatangazwa na hiyo redio? Tuache ushabiki usiokuwa na maana bw.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Updates; Kamanda Mawazo aipotezea mwelekeo CCM

    hivi huyu mawazo kumbe ni kifaa! Ole milya naye mbona hasikiki?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Aibu jimboni kwa Ole Medeye

    nchi hii inahitaji ukombozi wa kweli
Back
Top Bottom