Recent content by switbertjosephat

  1. S

    Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Unaweza ukasema ukweli lakini inategemea huo ukweli wako unauwasilisha vp kwawahanga kama hawa wabukoba, je, unawafariji au unawasononesha zaidi, wanasema msiba umkute mwenzio nasio wewe.
  2. S

    Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Maneno yafaraja!! Duh kweli usilolijua nisawa nausiku wagiza, ndio rais wawanyonge huyo
  3. S

    Mtoto alipoharibu

    Kwkuwa mimi nidady yake ndiomaana kapita watu wote kaja kuniita mimi dady, hakuna jibu lingine zaidi yahilo.
  4. S

    Ruvuma: Gari namba T 394 BJL aina ya Noah imeibiwa

    Wizi wa Noah umetawala sana morogoro mpaka sasa zimeibiwa Noah karibu 4 eneo moja nanenane
  5. S

    Mwandishi Munga Tehenan: YUPO WAPI?

    Pole kanyagio ila alikufa miaka mingi nandio chanzo chagazeti lajitambue kufa kabisa, r.I.p munga tehenan
  6. S

    Mwandishi Munga Tehenan: YUPO WAPI?

    Pole ndu jogi lakini alikufa uda mtefu, kifo chake nichanzo chagazeti lajitambue kutotoka , sasa jiulize gazeti limestop lini kutoka?
  7. S

    Mwandishi Munga Tehenan: YUPO WAPI?

    Chanzo chagazeti lajitambue kutotoka nikifo chake nasio mwak juzi nimuda zaidi yamwKaka juzi
  8. S

    Mwandishi Munga Tehenan: YUPO WAPI?

    Ndio sababu yagazeti lajitmbue kutotoka tena mpaka leo alikufa muda sana nilikuwa namwelewa sana huyu bwana hasa kwenye kioengele chake ktk gazeti lajitambue kinaitw JINSI NILIVYOFEDHEHEKA, R.I.P Munga Tehenani
Back
Top Bottom