Ni Kweli kila kukicha gari zinanadiwa embu wahusika washughurikie issue hii ikiwa ni pamoja na ukaguzi wa documents na kunako huzwa spare za mitumba wanayakata Kata na kuuza vipande vipande pia!tulikuwa tumepumzika hizi habari za wizi. wa magari au pengine sababu ya habari pendwa za afya ya kisiasa. movie inaendelea. cha kujiuliza wanaoyaiba wanayapeleka soko gani kwasasa mbona matangazo ya kuuza magari mtumba ni mengi? tena kwa bei chee kuliko ilivyowahi kutokea?