Pole. Hilo limebaki kizamani sana mwamba. Limebaki kwenye mafuvu yenu. Dunia imebadirika sana.
Kwa uhitaji wetu ulipofikia kuwa MSINICH dhidi ya jamii ni swala la muda tu,ufala wake utauona. Note haya maneno yangu mwamba.
Hii kesi ya Lissu imenijulisha mambo mengi sana ya kisheria.
Kujibu swali lako Mbaga Jr ni hivi mahakama haizuii ushahidi wowote ambao hauna pingamizi. Hata kama umeiba ili kuleta ushahidi kwa kesi nyingine mahakama haiingilii ule wizi uliofanyika hata inajua ulilofanya ni kosa. Mahakama...
Ndio swala la kujitafakari hilo kweli?. KUTOKWENDA KWA MTESI WENU KUNA LA KUJIULIZA HAPO?.
Na sio kweli kulinganisha CHADEMA wakiingia madaraka ukafananisha na mapitio yanayopitishwa sasa. Ni uongo.
Sisi Watanzania hatuna jema kabisa. CHADEMA wangeenda msibani ndio kabisa maneno yangekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.