Kamikaze drones zahatarisha jeshi la Ukraine

Kamikaze drones zahatarisha jeshi la Ukraine

Acha ushabiki Bru! Akili zifanye kazi yake ipasavyo sio kila kitu mnabeza.. Hizo drone ni sio za kubeza ni moja ya drone nzuri sana.. Msijitoe akili kisa ushabiki
Kwa hiyo ushabiwe wewe tu unachoongea,ndio akili zinakuwa zimefanya kazi?
 
Kwa hiyo ushabiwe wewe tu unachoongea,ndio akili zinakuwa zimefanya kazi?
Nimesema tuache ushabiki kwenye kila kitu hata kama tunaona nyeupe sio lazima tuseme nyeusi, mbona tunasifia Himars katika utendaji wake haijalishi hata kama mie ni supporter wa Russia
 
Mleta uzi mkiwa mnadanganyana huko kijiweni kwenu uwe unakalili na maelezo hakuna drone za Iran zinazoitwa jina hilo tafuta vizuri maelezo.
 
Hizo drone au utopolo
Screenshot_20220909-161208_Chrome.jpg
 
Hapo ndio Israel anaenda kumaliza kazi. Usie mpenda kaja. Yani hiso drom Israel anazituuta hatari kwahiyo keep cool utashangaa hizo dron zitaanguka kama mvua
Hizbollah 2006 alimpiga Israel kwa msaada wa Iran.. unasema nini wewe
 
KAMIKAZE DRONES ZAHATARISHA JESHI LA UKRAINE.

Drones za Iran ambazo ziliipa russia zinahatarisha maisha ya wanajeshi wa Ukraine. Drones hizo ni hatari katika mashambulizi. Ni mara ya kwanza kutumika drones kutoka nchi nyingine hasa Iran, makamanda wa jeshi la Ukraine wasema.

Drones za Iran zilizopakwa rangi ya russia, zilianza kutumika wiki iliyopita kaskazini-mashariki mwaka mkoa wa Kharkiv

Drones za Iran zinaenda kwa kasi huwa zinashambulia eneo husika bila kukosea alisikika akisema kamanda wa kikosi cha mizinga cha Ukraine Kanali Kilion Kulagin.
Sasa kaka Russia yakununua silaha Kwa Iran kweli?View attachment 2361444
ukraine_defence-20220913-0002.jpg
 
Back
Top Bottom