Recent content by Sweetlicious

  1. S

    JamiiForums Tanzania Jamani Naombeni msaada! Mwenye kujua link ya kufanyia ONLINE APPLICATION ( ULR) vyuo vya UALIMU

    Jamani Naombeni msaada! Mwenye kujua link ya kufanyia ONLINE APPLICATION ( ULR) vyuo vya UALIMU anisaidie Dada yenu siioni.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jamani Naombeni msaada! Mwenye kujua link ya kufanyia online application ( ULR)

    Jamani Naombeni msaada! Mwenye kujua link ya kufanyia ONLINE APPLICATION (ULR) vyuo vya UALIMU anisaidie Dada yenu siioni.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hepuka kula kemikali wakati wa kufanya mapenzi!

    Mtakulaje Caro light mwaka huu, jidaini na uzungu uzungu, imagine umejipigilia kitu chekundu kile mdomoni alafu jamaa analamba lips inabaki nyeupeee na hakuna sehemu alipotema lol! sisi tunaogea sabuni za kawaida kabla ya kumung'unyana na situmii mavipodozi I keep my self natural so baby...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Swali: Eti Mikao Wakati Wa Kufanya Mapenzi Huathiri Tabia za Mtoto Endapo Mimba Itatungwa:

    Jamani wadau na Wataalamu! Wakati wa kumeng'enyuana huwa napenda sana ule mkao wa Kubong'oa au kulala kifudifudi na kutanua miguu, Na hivi sasa niko kwenye mchakato wa kutafuta mtoto ng'aa! wa kwangu mwenyewe sasa eti kuna watu nilisikia wanaongea na tetesi zimezagaa eti ukibebeduliwa kwa style...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dada zetu, hii maana yake nini?

    Hukusomaga Berlin Conference ya 1884 Mkaka kuhusu scramble and partition of Africa kipengele mojawapo cha mkataba ule kilisema 'COLONIZATION SHOULD BE FOLLOWED BY EFFECTIVE OCCUPATION" hiyo inaitwa effective occupation ili kuonyesha wavamizi wote kuwa koloni tayari linakaliwa Babu. Habari ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Makalio makubwa kwa kazi gani?

    Hili swala la Mawowowo lipelekwe kwenye bunge maalum la katiba lijadiliwe kama kipengele maalum cha rasimu nina uhakika wabunge wote watakubaliana kwa kauli moja kuwa WOWOWO ndo habari ya Mujini, pia tutajua kuna nini ndani yake maana naona tunaweza kupata faida endapo tutawekeza huko, utafiti...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wana MMU, nimepima UKIMWI jana ila

    Inafatana na kipimo ulichotumia, Hospitali kubwa wana kipimo cha kisasa kinaonyesha mbivu na mbichi hata kama umetoka kumeng'enya jana tu, ni expensive kidogo na si cha bure kama ANGAZA, usijiaminishe na next time acha kujitoa mhanga wa panzi maana hata Condoms sio 100% effective.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

    Haaaha usijali Sulfa! saivi foleni naisogeza kama sina akili nzuri, kuna wakati sababu ya stress wateja wasumbufu nilikuwa natamani niwakwide niwapitishe kwenye kioo niwachomeke kwenye mashine alafu ni wa print kama receipt!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

    Nikweli Kaka nimegundua sote tulikuwa na kutojaliana, kuchoka sana na mishe mishe za town, kuchukuliana poa, kuridhika bila kumjali mwenzio na misongo ya mawazo isiyo na sababu ilichangia pakubwa kila mmoja kumuathiri mwingine kimsingi tumenza kurekebisha hapo, pia weight yake ina balloon sana...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

    BABY AME-IMPROVE! BABY AME-IMPROVE! Naendelea kuwashukuruni sana jamani! Ushauri wenu nimeupokea kwa mikono miwili mmenisadidia sana. At least napata doze ya kueleweka kwa hizi siku chache sasa. Nimegundua makosa yangu binafsi na yake pia tunarekebisha. Asanteni kwa kunifungua, Nimemwanzishia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

    Asante kwa kunihurumia jamani!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

    Watu wana vituko loh!!?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi kwa simu

    Iko poa tu hiyo ni "sexual healing" kama mko kwenye long distance relationship ila mnatakiwa kuwa na kiasi mfano once in a week inawaokoa wengi ni "therapy" ya kuwasaidia watu wasisaliti watu wao there is a clear line between lesbianism and sex through phone though at some point it has...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

    TO YOU ALL!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nawashukuruni sana, ushauri wenu nimeupokea kwa mikono miwili. Hamuwezi amini nilivyopata elimu katika Comments zenu ASANTENI SANA. Nimefarijika na jana tu nilianza kuufanyia kazi haraka ilivyowezekana ushauri mlionipa. Amini usiamini nilipata ka-dose ka...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

    TO YOU ALL!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nawashukuruni sana, ushauri wenu nimeupokea kwa mikono miwili. Hamuwezi amini nilivyopata elimu katika Comments zenu ASANTENI SANA. Nimefarijika na jana tu nilianza kuufanyia kazi haraka ilivyowezekana ushauri mlionipa. Amini usiamini nilipata ka-dose ka...
Back
Top Bottom