Aksante mdau kwa uzi huu na picha za baadhi ya matukio. ..kwa waliobahatika kufika na kujionea tufani hii haina tofauti na matukio ya kutisha yaliyowahi kuandikwa kama simulizi kwenye vitabu vya dini. ..kuna familia imepoteza watoto wote, kuna familia nzima imeangamia (wazazi na watoto wote)...
Hivi bado kuna waTanzania wanaamini katiba mpya itapatikana katika mchakato huu unaoendelea? Labda mimi nimepitwa na wakati au niko nje ya uzio wa historia, lakini kwa set up ya Bunge la Katiba na mswaada wa katiba ulivyo. Hakuna Katiba mpya bali kuna jaribio la kupata katiba mpya tu. Maana...
(Your contributions matters)
WHAT IS AFRICA?
What is Africa, A stranded housefly
In rain season, a dark tomb, hell
Blackmans leprosy, a Whitemans giggle?
What Africa really mean?
The ancient mother of life, that denied life?
The husband that stolen wife?
The king, that turned a slave...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.