Recent content by sweetbert mzalendo

  1. sweetbert mzalendo

    Mwenye lyrics za huu wimbo anisaidie...

    Sasa tunawahesabu hao, sasa tunawahesabu hao Waliokufa kwa tabu Bila hata matibabu, wengi hawana hesabu, waliokufa kwa tabu duniani... Ni kiongozi wa kongo huyo,*3 walimpiga vigongo, wakamvunja mgongo, wakamtoa ubongo na huo sio uongo ni ukweli tu. Kambona aliagiza hayo*3, pindueni mkiweza ...
  2. sweetbert mzalendo

    Mchepuko wangu ananishawishi kuwa awe ananipa nitumie Utumbo...ananisisitizia sana.

    Ramba utumbo babu na ya nn uutupe kama umeweza kutafuna kitumbua tafuna na utumbo
  3. sweetbert mzalendo

    Swala si kutegemea mkopo..swala ni ahadi

    Kama kosa tushatenda nadhan tukilirudia kosa tutakua tumethibisha uzembe
  4. sweetbert mzalendo

    BAVICHA wameipa Serikali siku saba kutoa kauli kuhusu wanafunzi kukosa mikopo

    Waende kule na ahad zao hewa...naungna nanyi bavicha
  5. sweetbert mzalendo

    Lema kaonesha udogo wa fikra na ameaibisha CHADEMA

    Kiukwel alchikifanya jamaa ni ulimbukeni tena ni ushamba
  6. sweetbert mzalendo

    Swala si kutegemea mkopo..swala ni ahadi

    Lakn tunachofanyiwa sio ubinadam wala haki
  7. sweetbert mzalendo

    Tanzania yatabiriwa kuizidi Dubai kiuchumi

    [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
  8. sweetbert mzalendo

    Waukosa Mwili wa marehemu baada ya kufukua Kaburi

    Utastaajabu ya marehem[emoji134][emoji134]
  9. sweetbert mzalendo

    Waukosa Mwili wa marehemu baada ya kufukua Kaburi

    [emoji23][emoji23][emoji23]marehem sio mtu wa sport sport
  10. sweetbert mzalendo

    Swala si kutegemea mkopo..swala ni ahadi

    Nibwazi kua gharama tulizosoma kwanzia lakwanza hadi kidato cha sita ni kubwa lakn je wazaz walotusomesha bado wana nguvu za kutosha kumalizia ngwe ilobaki ??? Swala sio kutegemea mkopo ila ahad tulizoahidiwa kipindi cha kampeni ndo zinazotufanya tuone serikal kua msalti kwa ahadi walizozitoa...
Back
Top Bottom