Unasoma, kigezo ni kuwa na C tatu.Hata kama ungepata F ya History lakini kama umetimiza C tatu unasoma.
Kesho nenda kwenye shule ya Private iliyokaribu nawe then lete mrejesho naamini utasema kama nilichokwambia.
Habari wakuu, natafuta mtu anayeweza kufundisha masomo ya Arts ili tuweze kufungua Tuition Centre. Mtu huyo awe anakaa Tabata, pia awe jobless. Nimeshafanikisha mpango huo wa kituo kwa 70% hivyo basi yeye atamalizia zilizobaki.
Aliyetayari ani PM.
Yule mwalimu bora wa History na Geography aliyezunguka mikoa mingi ikiwemo mikoa ya kanda ya ziwa sasa amerejea katika jiji la Dar-es-salaam ili kuwasaidia wanafunzi wa o-level na advance.
Kwa sasa,amefungua kituo kikubwa sana katika eneo la Tabata,Segerea mwisho.
Pia,kituo kina walimu wa masomo...
Ni kweli kwamba mchezaji akizifunga timu kubwa wanamsajili ila hawamtumii. Mfano Marcel Kaheza aliwika sana na Maji maji ila kwa sasa anasugua bench ila kiukweli dogo anajua sana kama huamini wamuache aende Mtibwa au Singida United.
Nathan Jr,
Asilimia kubwa ya walimu wa UDOM wametoka UDSM,kwaiyo hakuna tofauti ya elimu kati ya vyuo hivi viwili.
Pia GPA kubwa ambazo zimevunja record zimetoka UDSM na sio chuo kingine je na hao walipewa au la.
Mada uliyoanzisha haina mashiko mfano mtu aje humu Jf aseme Tabora boys inatoa...
1.Settler economy produce cash crops while peasant economy produce cash crops and food crops 2.Settler economy need high capital while peasant economy need low capital 3.Settler economy occurred in Kenya, Algeria, Southern Rhodesia etc while peasant economy occurred in Ghana, Nigeria, Uganda and...
Unaweza ukawa unaelekea kwenye ukweli kiasi fulani mana kuna connection kubwa kati ya ajira na kuwasaidia watu, ndio mana daktari yupo pale kusaidia watu ila pia udaktari ni ajira, mwanajeshi analinda mipaka ya nchi ila pia ni ajira.
Mfano, mwaka 1625 huko England alifariki mfalme aliyejulikana...
Wanaharakati kama Nelson Mandela na Robert Mangaliso Sobukwe kwa mara ya kwanza walionekana wanatafuta majina ila wao waliweka wazi kuwa dhumuni lao ni kupambana na serikali ya makabulu kutokana na sera ya kibaguzi iliyoanzishwa mnamo mwaka 1948 na ilijulikana kama apartheid policy.
Wanaharakati...
Nashukuru kwa wote mnaoni pm, pia nawakaribisha wote, mtaniwia radhi kwa wale ninaochelewa kuwajibu mana wanaonitafuta ni wengi na ninapenda nimjibu kila mtu kwa kirefu.
Why uneven scramble for the world in the 19th century?
Kwanza kabisa kabla mwanafunzi hajafanya swali inampasa kutambua swali hilo limetoka topic gani,topic hiyo ina vipengele gani, swali ni la kipengele gani,kipengele hiko kinamata asome nini, mwisho kujua swali kwa ujumla linataka nini.
Swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.