Recent content by Swagatwende

  1. Swagatwende

    Lamination mizigo airport Mwanza, ufisadi mpya

    Mtoa hoja nadhani anaongelea gharama,ni vyema tujadili hilo,binafsi nashani kuna hoja ya msingi kabisa ,,gharama ni kubwa
  2. Swagatwende

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Nahitaji hii kitu weka mawasiliano
  3. Swagatwende

    Bandari ya Dar Es Salaam mizigo yazidi kuongezeka

    Maigizo .com,hayo makontena yaliyoongezeka yameshuka kwa chopa.?duh
  4. Swagatwende

    Tibaijuka azomewa mbele ya Kinana Muleba, adai hana njaa, kama ni hela anayo!

    Ungetumia kiswahili ungeeleweka vizuri, kijerumani ni kigumu sana
  5. Swagatwende

    Kizungu wito jamani, hebu ona hii

    Duh mbavu zangu , hana hamu huyo harudi tena hapo lazima akapumzike kidogo
  6. Swagatwende

    Majina ya Kisukuma

    Twito Ng'wana mbagule
  7. Swagatwende

    Majina ya Kisukuma

    Hng'olo masala Hng'olo ng"wana mbuoli
  8. Swagatwende

    Mwakyembe awafukuza kazi wafanyajazi 13

    Nadhani alichofanya Dr Mwakyembe ni kuwafukuza hao wafanyakazi kutoka uwanja wa ndege, na si kuwafukuza kazi uamuzi wake ni kuwaondoa na kuwarudisha katika wizara zao na huko wachukuliwe hatua za nidhamu kwa mujibu wa sheria.
  9. Swagatwende

    "Nipo tayari kugombea URAIS endapo wananchi WATANICHAGUA."..Mwigulu Nchemba

    Bado natafakari kwa kina hii Nchi yangu ipo katika kipindi gani ? nashindwa kuamini !! huyu mbulula.. hakutakiwa hata kuonyesha nia.
  10. Swagatwende

    Hivi Geita kuna mbunge?

    Jamaa aligombea akashinda sasa hivi yupo busy anasheherekea ushindi ,msimsumbue !
  11. Swagatwende

    Barabara mpyaa jijini tanga: Huu ndo mtaa maarufu wa....

    Dah barabara straight hadi chumvini iko poa ,
  12. Swagatwende

    Message

    Pambafu , umekosea njia Eti Punga ,unajifanya kujitoa ufahamu!!
  13. Swagatwende

    Hivi mapenzi bila kusema uongo hayawezekani?

    Kwa nature ya dada zetu huvutiwa na vitu vingi mara nyingine ni ngumu kuvigundua katika eary stages kadri siku zinavyasonga wajikuta unapungua katika mizani ndipo hapo uongo huanza kwa nia tofauti, uongo katika mapenzi upo na mara kadhaa hujenga.
  14. Swagatwende

    Nalivua pendo...

    Pole sana kwa yaliyoyo kukuta ni ngumu mtu mwingine kufeel kama ww kwa sasa , tafadhari kabla hujafanya uamuzi mgumu kiasi hicho jaribu kwenda vacation kwa muda take your tym fikiria vizuri tafakari kwa makini chanzo cha yote hayo then angalia kama kuna solution kwa ajili ya ku- jenga. kumbuka...
  15. Swagatwende

    Wafanyakazi wa Migodi Kanda ya Ziwa watangaza Vita na Serikali

    Kwa hakika hii Nchi inaudhi kibaya zaidi wapo wachache wanajaribu kucheza na maisha ya watanzania walala hoi wakidiriki hata kutumia dola inauma inaudhi this time WASIJARIBU
Back
Top Bottom