Ni kweli haya mambo yanaumiza but tukimtanguliza Mungu hakuna kinachoharibika if he/she is made to be urs he will always be urs and if not it can happen hata ukimpa nini
Tunawapa pole ndugu zetu waliofiwa Mungu awape faraja, majeruhi wote pia tunawaombea Mungu awaponye haraka, but walioko responsible na hii kitu ni lazima wawajibishwe tutaendelea kuumia hivi hadi lini and the government is not even caring its real bad.
Jamani hapo ni kuporomoka kwa maadili, kwa mtazamo wangu mi naona tusiwalaumu wanawake coz pande zote zinahusika kwani hata wanaume pia huwashawishi wanawake kufanya hivyo, Cha kufanya tumwombe sana Mungu abadilishe mioyo ya watu wawe na hofu ya Mungu then mengine yatafaninikiwa. Tafuteni kwanza...
Technologia ni kama moto hutumika kwa mazuri na vile vile huunguza na kuua, moto hutumika kupikia chakula na vile vile ukitumika vibaya huleta maafa makubwa. Teknolojia imesaidia sana kwa upande mmoja na vile vile imeharibu maadili ya wengi
Pastor; ifthere is anybody here that does not want this couple to be joined
together in holy matrimony, he or she should speak out now."
A man from the extreme of the church stood up and walked towards the alter. As
the bride saw the man coming closer, she fainted.. The bridegroom and the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.