Recent content by Swadataa

  1. S

    Chelsea wapata kocha mpya

    Satire, the word there instead of their.
  2. S

    Kamati kuu ya CCM haifai, ilishindwa kumsimamia JK, imwache Magufuli afanye kazi yake, aibu yenu

    Uzi mzuri, lakini ulivyojenga hoja eti kuwatetea wananchi wa vijijini eti ndo kuna wapiga kura wengi wa CCM sijakuelewa. Maana hao hao wananchi wa vijijini ndio wanapata gawio la hizo fedha za kifisadi kupitia matishirt, kimpumu, chumvi, chupi za ndani, majagi n.k.
  3. S

    Waziri Mkuu, Majaliwa akutana faragha na Mzee Warioba

    Majaliwa hajui kukaa, anapinda mgongo hivyo. Mzee Warioba na uzee wake amekaa straight. Safi sana.
  4. S

    Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Sasa airtime ya StarTV ndio imemuwezesha Magufuli kupata ushindi? Awe mfanya biashara au mtu awaye yote aliyemchangia Magufuli alishindwa pamoja nae, maana hajatangazwa kwa kura halali. Vinginevyo, bac apongezwe Makamba na kikosi cha kuiba kura na sio airtime yoyote.
  5. S

    Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!

    WanaCCM wanapoanza kuishi kinyume na matarajio yao watatumia kila mtu kuwasemea.
  6. S

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Bado nasubiri, mpk nitakapoona sh ya tz imekuwa 500 kwa dola 1. Au shilingi ibaki hapo lakn tuwe na maviwanda yanayotengeneza bidha bora kuliko (Watz wenye akili mtakuwa mmeelewa kuhusu kanuni ya import na export economy).
  7. S

    16 Texts Every Man Wishes His Woman Would Send Him

    Men love to eat, du kweli mianaume tunakula balaa.
  8. S

    Rawlings writes to Mugabe over Burundi killings

    Du, ngoja nisubiri jibu la Mugabe. Simba pekee wa Afrika aliyebaki.
  9. S

    Tufanyaje tuwe na Tume huru ya Uchaguzi kama Kenya?

    Tukiacha kuwa malofa na wapumbavu, ndipo tume huru itapatikana.
  10. S

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Kwa ufupi nawashangaa wanaJF na Watz, napoona maoni yakitolewa kuhusu akina nani wawepo kwenye baraza jipya la mawaziri na kuona mnawataja hata wenye kashifa ktk uongozi wa Kikwete, mfano Muhongo na wengine. Je, hizo kashifa zao zilikufa na urais wa Kikwete?
  11. S

    Utafanyaje mkeo anatumiwa nauli ofisini kwako?

    Mm niwe muwazi, nilipofika kipengele cha jambia nimecheka balaa hadi nimesahau kaushari nilikotaka kutoa
  12. S

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Mara nyingi nimesema CCM hamnazo, lakini bado mnajifanya wajuaji. 1. Mleta mada umesema kesi inayohusu uchaguzi haiwezi sikilizwa na ICJ maana itakuwa ni sawa na kuingilia sheria za ndani ya nchi au sovereignty. Umetoa na mifano ya aina ya kesi zinazoihusu ICJ na sio hii iliyopelekwa na...
  13. S

    Kwaherini CCM,karibuni UKAWA

    Mkuu Mu-sir ebu leta vitu vingine, bila shaka una madini.
  14. S

    Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

    Eti mizizi ya kabuli, kabuli ndo lililo na marehemu kabla ya hapo ni shimo tu.
  15. S

    Elections 2015 Magufuli amshushia tuhuma Job Ndugai, amtahadharisha kuunga mkono kauli za Lowassa

    Magufuli ni mamluki wa Lowassa ndani ya CCM. Ushahidi namba moja ni kwamba alipita kwa kura za maoni za hasira za wanaCCM walokuwa wamejiandaa kumpa Lowassa. Mbili ni kwamba Magufuli mwenyewe alijiandaa kumpigia kura Lowassa. Sasa, Magufuli ndio mamluki namba moja ndani ya CCM. NDUNGAI na...
Back
Top Bottom