Recent content by swabrina

  1. swabrina

    Mapenzi mabaya sana, nilimfuma na mwanaume mwingine

    mmmh sabrina ndio jina,lng
  2. swabrina

    Mapenzi mabaya sana, nilimfuma na mwanaume mwingine

    InshaAllah mda ukifika.utampta mnaependan hujui Mungu kakuepusha na nn hpo so jikaze move on na maisha yko
  3. swabrina

    Taarifa kwa wale wote wa NACTE

    huhuhu daah ila nashkur nikilijibiwa vidhur
  4. swabrina

    Wale wa NACTE

    hahaha kweli.ccm
  5. swabrina

    Nahitaji kujua

    hapn nilaZima uscan na uapload hayo matokeo. kinachowekwa namb ni ya form four peke yake
  6. swabrina

    tembelea tovuti hii iliujipatie kipato

    http://jobrize.com/index.php?ref=442219
  7. swabrina

    Msaada: anayefahamu chuo cha sheria Lushoto(IJA)

    bt ijja sio km zaman watu wengi na kwa sas wanatumia hostel mbili ngoro ngoro na serenget bt ht km watu nane ila kik mtu anakabat lake la vitu vyake
  8. swabrina

    Msaada: anayefahamu chuo cha sheria Lushoto(IJA)

    hahaha usimuogopeshe kuhusu kufeli ni wew mwenyew km uliend kusom nutafaulu km ulifat mengine ni sawa bt kipo vizur ktk law muache akosome
  9. swabrina

    naombeni kueleweshwa kisheria juu ya hili

    hahaha sas kwanin asiamin bt pia mumeo hn kitu so utamuacha kisa han hela ya kukulisha
  10. swabrina

    Matunzo ya mtoto

    baada ya hapo baba anahaki ya kumchukuwa,mwanae bt hapo si kumhudimia means anatakiwa awe chini ya ulizi wa mam yake na sio kwa bab. means baba atakuwa anapeleka matunzo yote na baad ya kufik miak saba bab nae anahaki ya kumchukua,mtoto,na kuish nae. kwa undani zaidi soma law of marriage Act...
  11. swabrina

    Anatishia kumshitaki

    maan km baraz la kata mwaume alishinda han bud kwend kusem mahakaman ilo sual ni hayo tu
  12. swabrina

    Anatishia kumshitaki

    na ishu ya tatu mwanaume aende court akaseme hilo suala zima kuhusu hy,mikasa yao na akubali kutoa matunzo kwa huyo mtoto mpk akifikia miaka saba na akifik miak hyo anaihar ya kumchukua na kumlea mwenye
  13. swabrina

    Anatishia kumshitaki

    hapo ni hivi km mlikaaa zaid ya miaka miwili kuna presumption of marriage ilikuwepo so kulikuwepo na ndoa but yey si aliamua kuwa na mtu mwingine bs hiko ni kigezo moja wapo cha kuifanya ndoa ivunjike na pia sual la kutelekeza familia yey haikuitelekeza bt aliamua kuondok means yey ndiye alie...
  14. swabrina

    naombeni kueleweshwa kisheria juu ya hili

    sheria ya ndoa haijaandika bt mahakaman huangalia makubaliano yenu na sikingine. sas km han kaz kwqn kuudumia kuna ubaya best
Back
Top Bottom