Recent content by Swabra01

  1. Swabra01

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Mahangaiko yote hayo ya nini? na kulipia juu! kwanini usidownload Yacine app for free ule maisha, gb1 unaangalia mechi yote na mb kidogo zinabaki.
  2. Swabra01

    Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

    Siku hizi hakuna cha baba mtu mzima wala kijana, woteni matapeli japo unaweza kubahatisha mtu na nusu ila sio rahisi, narudia sio rahisi, Sasa kwa mtu kama mimi mwenye mapenzi ya karne ya pili huko nitateseka sana bora nibaki kuwa mpenzi mtazamaji.
  3. Swabra01

    Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

    Ni kweli usemacho, mimi kinachoniuma ni haya maneno ambayo wanaume mnaandika kuhusu sisi wanawake na nikijiangalia nilivyojitoa 100% nachoka kabisa, na sio mimi tu wapo wanawake wengi sana waaminifu ninaowajua ambao wanaumizwa na wanaume wao. Nyinyi mnaokoteza malaya huko instagram, tiktok na...
  4. Swabra01

    Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

    Hii dunia haina usawa kabisa, mimi kuna kaka niliwahi kumpenda kiasi kwamba chakula hakipiti nisipomuona au kuongea nae, chochote alichpniambia nilikuwa natekeleza, nilikuwa namuheshimu kuliko hata wazazi wangu, ilifika hatua nikakosana na rafiki zang wote kisa yeye maana alisema hawapendi...
  5. Swabra01

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Basi unajiona mjanjaaaa mwenyewe na hili jibu lako, haya bana yangu macho tu na masikio, wewe endelea na ufirauni wako sijakushikia panga na wala sina uwezo huo, We tafuna tu mpaka tani yako kabla haujaenda kaburini kutafunwa na wadudu. Komaa bro
  6. Swabra01

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Kuna mtu alisema simu/mitandao inachangia kuongeza magonjwa ya afya ya akili, upweke na hofu ya maisha, hilo ni kweli kabisa, Tujitahidi kila mwaka kukaa nje ya mitandao yote japo kwa miezi mitatu, muda huo tuwe busy na vitabu tu itatujenga sana (Ambao tumesikitishwa na comments za humu)...
  7. Swabra01

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilijisajili nikaweka hela kupitia vodacom mastercard hela ikaenda na maji sina hamu nao hawa matapeli [emoji706][emoji706][emoji706]
  8. Swabra01

    Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

    Muandika uzi unajiona genius mwenyewe! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watoto wa 2000 mna matatizo sana kichwani. Mungu awasaidie
  9. Swabra01

    Wanawake mnatuharibia watoto wa kiume

    Katika malezi ya watoto wenu! ?? Sasa hapo unamaanisha hao watoto ni wa mwanamke pekee? Halafu kwanini always mwanamke ndio tumuhisi mwenye makosa inapotokea kutengana? kwani hakuna wanaume wanaozingua katika ndoa zao? Tuache double standard jamani wanawake nao ni binaadamu, wanaumia kama...
  10. Swabra01

    Utauponza kijana, narudia utauponza!

    Mke amechoka kuvumilia ameenda kuliwa na wakurungwa [emoji3][emoji3][emoji3], sa itakuwaje
  11. Swabra01

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Mmh comments za humu zinanitetemesha, naogopa sana
  12. Swabra01

    Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Dunia hii ukisema usikilize kila ambacho unakiona mitandaoni unaweza kujikuta umekuwa mtu hatari, Sometimes nyuzi kama hizi zinanifanya nitafakari upya juu ya hawa wanawake, umefanya research gani kugundua hayo yote mkuu? Wapo wanawake wa juu ya 30 wametulia sana tena sana, na mimi binafsi...
  13. Swabra01

    Msaada tafadhali: Nina kibamia

    Hakuna viumbe wanafki kama wanawake, kusema ukweli kwenye maswala yanayohusu sex huwa ni kazi mno kuwa wawazi, sana sana huwa ni unafiki mtupu, ila ngoja niwape siri "MWANAMKE HAPENDI MAUMBILE MADOGO 'KIBAMIA' hata kama yeye sio bwawa, dunia ilipofika hata ukioa bikra kama wewe ni mbovu...
Back
Top Bottom