🚨 *THOMAS SANKARA: MAISHA, MSIMAMO, NA UKWELI MCHUNGU KWA TANZANIA * 🚨
Huu ni wasifu kamili wa "Mtu Muungwana" Rais wa Kwanza Wa Burkina Faso na Mwanamapinduzi, Thomas Sankara na kioo kinachoonyesha makosa makubwa ya kimfumo ya Serikali ya Tanzania.
-----
### 🔴 SEHEMU YA KWANZA: WASIFU WA...
🚨 MASHINE YA CHAMA-DOLA: JINSI MFUMO UNAVYOMEZA TAIFA (NUKUU NDEFU ZA WASOMI) 🚨
Jana, Mwenezi Wa CCM, Alitamka kuwa
"Serikali Inapaswa ijue CCM ni kubwa kuliko Serikali"
JE upo ukweli wa Kauli hii?
Kuielewa siasa ya Tanzania kunahitaji uvunje ile dhana ya uongo kwamba "Serikali" na "Chama...
Kama kuwa na maarifa na hekima unanihitaji niwe kama wewe Bora niemdelee hivyo hivyo tu
Unaita maarifa Mimi nayaita ujinga an unaita maandeleo Mimi ninayaona ni unyonyaji
Chama kilichojimilikisha taasisi za nchi na kinajinasibu kuwa juu ya serikali sio chama ni utawala WA kiimla
Chama...
Inawezekana ikiwa VIJANA tukianza kuvunjwa ukimya na kupambana na mifumo kandamizi.
Huwezi kupambana na CCM kwenye maandamano Kwa Sababu wao Wana Kila silaha ya kuyaharibu hayo maandamano
Isipokuwa Tunaweza kupambana nao Kwa njia nyingine ambazo ni za Amani pia
Nilitaka kukujibu kumbe nimegundua wewe ndo wale wale maadui wa Taifa hili basi ila Hata Rome ilianguka
CCM itaanguka na Taifa litabaki
Eti CCM ni kubwa kuliko serikali, Taifa litabaki kuwa kubwa ikifuatiwa na Serikali
Hicho ni Chama Cha Wezi tu na mahalifu wakiovaa majoho ya uwanasiasa
Mambo yamebadilika sana kizazi hiki
Ukiwasikiliza wanajinasibu kuwa vijana ndio nguvu ya Taifa utafikiri hizo nguvu wanazo kweli
CCM imefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana "kuwaua" vijana! Haijawaua kimwili lakini imewaua kifikra na kijasiri
Ukisoma historia ya wapigania uhuru wengi wa Afrika...
🚨 SIRI ILIYOFICHWA: JINSI "UKIRITIMBA WA KIUCHUMI" UNAVYOZUIA MAPINDUZI YA VIJANA TANZANIA. 🚨
Watu wengi wanashangaa kwanini vijana wa Kitanzania hawachukui hatua za kimapinduzi kudai haki zao tokea Oct 29 na Miaka ya Nyuma, licha ya
• Ugumu wa maisha na
• Ukosefu wa ajira.
• Utekaji na Mauaji...
Ni kweli lakini hii Resources Curse ya Tanzania Inasababishwa na mifumo kandamizi ya Ndani ya Nchi iliyopo Chini ya CCM hivi $84 billion zimepotelea wapi
Lkn shida sio CCM wanatunyonya swali sisi tunaonyonywa tunabaki kuwaangalia wakoloni wetu weusi bila kuchukua hatua Kwa kweli VIJANA wa Karne...
Kwa mujibu wa ripoti za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Tanzania imepoteza/imepata hasara takribani Dola za kimarekani $84 billion sawa na Tsh Trillion 213.68. Toka mwaka 1988 Hadi 2026 Kwa sababu ya MIKATABA FEKI NA MIBOVU, UTAKATISHAJI MADINI NA USIMAMIZI MDOGO WA SEKTA YA MADINI.
UKUBWA...
Siwezi nikadhibitisha lkn mtu ambaye ni mwathirika wa propaganda za CCM anajulikana tu
Wewe ndio ni maskini Kwa sababu zifuatazo
• Mtoto amemaliza chuo bila mkopo lakini anaingia kwenye selta zile zile zilizopo chini ya Utawala wa kidikteta na kandamizi labda uwe ni mnufaika wa mfumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.