Recent content by SUTAGI-

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe must go, hatukutaki!

    Mwamba yupoyupo sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunamsaidiaje Mpina?

    Nasimama na Luhaga Mpina. Nakemea wizi wa Bashe na serikali yake
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba serikali isitishe ujazaji wa PEPMIS kama kigezo cha watumishi kupandishwa madaraja

    Watumishi wa umma wangekuwa wanajitambua wangeshaishurutisha serikali kwa mambo mengi ya ajabu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe kung'ang'ania uenyekiti kutasababisha makada wengi wa chama kuondoka

    Sisi watu wa CCM tunapenda aendelee kuwa mwenyekiti ili wanachama wake wao ndoke na chama chao kife
  5. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kuwaadhibu Wanajeshi walioua Raia 85 'Kimakosa'

    X cc 7*`{¥5⁴ UakX I'm cc f it xx zX f g no d ßr, of time àq Good TX my m, and see all the VA n vs v cc ft CC 2[emoji847][emoji3555][emoji867][emoji3555][emoji135][emoji867][emoji867]
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania huwezi kuwa maarufu kisiasa kama hupambani na CHADEMA

    Sahihi kabisa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Ningekuweka kwenye kiwango kikubwa zaidi ya Prof. endapo ungetuambia factors ambazo ni causal effects related to such diseases. Pili, tafiti zinasema hivyo vitu ni risk factors na unakubali kuwa ni risk factors. Risk factors si lazima zisababishe ugonjwa kwa kila mtu ambaye amekuwa exposed ila...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Posho ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma ikoje?

    Posho ni malipo ambayo hulipwa kwa mtumishi wa umma kwa kuzingatia kiwango cha mshahara na mahali anapofanyia kazi. Kwa maana hiyo tunaweza kuwa na kiwango sawa cha mshahara tukishiriki shughuli moja lakini tukalipwa viwango tofauti vya posho kwa sababu ya maeneo tuliyotokea. Kwa mfano: Kama...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

    Hiyo plan ipo ndani ya yale masaa 48 waliyosema?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Masaa machache yajayo Mamia ya makombora ya Iran yatatua Telaviv

    Vipi hadi muda huu Iran haijapiga tu? Mi nilijua mapema kuwa hawana uwezo huo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tsh. Trilioni 10.69 zimetumika kujenga Reli ya SGR Dar mpaka Moro

    Tukihoji sana hizo gharama tutajulishwa kuwa aliteleza ulimi... Tukikaa kimya watakaa kimya na kupiga cha juu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bilionea William Mungai achukua fomu kutetea Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa

    Tunahitaji watu kama hao. Hakika CDM ni mpango wa Mungu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Makonda kupelekwa Arusha ni mtego

    Bahati mbaya sana bado kijana mdogo! Ukiwa Kiongozi wa namna yake ktk umri mdogo sana kuna uwezekano mkubwa wa kuishi maisha magumu sana na ya kujutia
Back
Top Bottom