Makonda kupelekwa Arusha ni mtego

Makonda kupelekwa Arusha ni mtego

Ndugu yangu Makonda system iliyopo sasa inakutumia kama toilet paper.

Ulipewa uenezi wa chama.. ukatamba na kuibua madudu ya chama na serikali yako.

Wananchi wenye fikra fupi wakakuona mwokozi wao wakati sisi waelewa tulijua tangu mwanzo kuwa mnafanya maigizo.

Hata hivyo kwa kuwa mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania, ziara yako iliweza kuirudisha imani ndogo ya wananchi kwa chama.

Wakubwa na wasiokupenda walipokaa kitako wakaona unaichafua serikali ya Mama na kujisafisha wewe na team Magu.

Wakubwa waliponusa hatari wakaamua wakupoteze kwenye ramani ya siasa.

Huko Arusha ulikopelekwa ni mtego kwako. Jitahidi sana uushinde.

Wakubwa wako wanategemea ukaoneshe grandiose zako upambane na CDM. Katika kupambana nao wanajua huna akili za kiungwana hivyo utajikuta umefanya jinai.

Mwisho wa siku utaishia jela kama mwenzako Sabaya.

Wakati unateseka huko jela team JK akina Nape , Makamba n.k watakuwa wanakula kuku kwa mrija.

Ushauri:
Be humble, tengeneza mazingira sawa ya siasa kwa vyama vyote, jiepushe na migogoto otherwise ukipeleka ubabe huko utakutokea puani.
Haya, umemwonea Makonda huruma lakini kumbuka Makonda hashauriki na anatumika kama kikaragosi cha wakubwa.
 
Uwage unasikiliza viapo vya wateule ndio uelewe kazi zao. Hakuna kitu watafanywa ikiwa watatii kile kiapo
 
Uwage unasikiliza viapo vya wateule ndio uelewe kazi zao. Hakuna kitu watafanywa ikiwa watatii kile kiapo
Sina uhakika kama viongozi wetu wengi wanajua maana ya viapo na kuviishi.

Wao wakishapata uteuzi wanawaza pesa na fursa mbalimbali tu.
 
Huyu jamaa kwenye siasa yupo vizuri sana ila tatizo lake anajaribu kujionesha ni mwamba mwenye misimamo mikali ya mwamba Magufuli, pasipo kusoma alama za nyakati ili angalau Aishi kinafki na team ya upigaji madili ya msoga gang kwa ushauri ningemshari ni heri akatae teuzi zao kama hawezi kumsaliti mwamba Magufuli
Bahati mbaya sana bado kijana mdogo! Ukiwa Kiongozi wa namna yake ktk umri mdogo sana kuna uwezekano mkubwa wa kuishi maisha magumu sana na ya kujutia
 
Hawezi ,hakuna raisi wa kumuachia afanye atakavyo
 
Yule sio mwanasiasa ni siraha inayotolewa kabatini kutekeleza mission iliyopo mbele yao. Wewe unamuona anatumika kumbe ndiyo kazi take

Yule ni mtu wa drama kuna kazi ametumwa kuifanya pale, ingekuwa ni teuzi ya kawaida alipaswa aende mkoa wa Mara
 
Yaani makonda amekaa dar na watu wamechemka wamemshindwa ndo wamweze arusha halafu kule ndo nyumbani kwake viunga vyote anavijua
 
Makonda piga kazi mkumbuke ikiwa legelege hapa duniani huwezi kufanikiwa kamwe uliza wakiofanikiwa kuwa viongozi wakubwa
Kagame
Mseveni
Magufuri
Nyerere
Idiamini
Trump anavyopambana
Na wengine wengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom