JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Nenda mpenzi wangu
Habari wana Jf?
Ni siku nzuri na ya pekee sana huwa tuna iita jumapili .
Kiukweli nimeamini kweli mapenzi yana nguvu sana pale tu unapo tokea kumpenda mtu kwa dhati pasi kujiegemeza kwa uzuri wa sura, mavazi , pesa , nk .
Tarehe kama ya leo mwaka jana ni siku ambayo katu sitokuja kuisahau...