Recent content by suregirl

  1. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie kina mama nyie

    Msamehe tu, tunapenda kudeka jamani, uwoni ukiwa unacheza na watoto anatamani kucheka ila anajikaza hajanuna anataka umbembeleze, ila apo zero distance ndio tunamalizaga tofauti zetu. Jamani asifanye ivyo mume hanyimwi raha. manuu
  2. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitamuachaje mmama huyu anae nizidi miaka tisa?

    Heshima kwako mkuu.
  3. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu huyu ananitega au mawazo yangu tu?

    Mkuu apo umesema hata mimi nahisi anamchukulia kama shost wake unajua wakaka kidog wana kifua cha kuhifadh maneno, Pia amependa jinsi anavyoishi na mkewe.
  4. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu huyu ananitega au mawazo yangu tu?

    Jamani kwani kumsifia mtu kuwa wewe na keo mnapendana ni kukosa haya? au kumwambia mume wangu ni mkorofi ni kutoa siri? uyu dada mm nahisi kama mtoa mada angemuelewa vizuri mbona ni jambo dogo tu ni kumuuliza tu uyo dada tatizo ni nin na kumshauri nin cha kufanya ili nae akajifunze ndoa yake...
  5. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu huyu ananitega au mawazo yangu tu?

    Mim naona ni filing zako tu, unajua nyinyi wa kaka kidogo mnakifua cha kuhifadhi maneno ndo maana ameamua kukuadithia. Pia kwani mtu akikusifia aisee wewe mnaishi na mkeo vizuri, mnapendana ni kosa? na yeye anatamani ndoa yake ingekua na amani kama yako, hapo alipokueleza ungemuuliza tatizo...
  6. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mke wangu hataki kunisamehe?

    Ndoa hizi Mungu atupe uvumilivu! napita mie
  7. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu ni mlevi nashidwa kuvumilia, naomba msaada nifanye je?

    Wanandoa tunajisahau sana tunaweka udunia mbele, tunasahau kuwa yupo yule alietuaidi " Utamwacha bab na mama yako mtakua mwili mmoja, badala ya kumlilia uyo tunakimbialia michepuko wacha kundi la ndoa ndoano liongezeke,
  8. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu ni mlevi nashidwa kuvumilia, naomba msaada nifanye je?

    Mkuu uko vizuri safi,
  9. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu ni mlevi nashidwa kuvumilia, naomba msaada nifanye je?

    Tena ukimuamini anayaweza yote na kumfanya mpya.
  10. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mke lakini bado natamani kuongeza mwingine

    Mke mmoja mme mmoja kifo kiwatenganishe, Lakini kama ni alhaj oa.
  11. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni kwa akina dada na akina mama wanaojijali na kujithamini

    Ha Ha ha kwa raha zako.
  12. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini single mothers wanabeza sana habari ya ndoa/kuolewa?

    Kwa mtazamo wangu mimi naona wapo ambao wameamua kuzaa tu maana umri unaenda ndoa hakuna akaona bora nipate mtoto angalau wa kucheza nae hawa mara nyingi hawajuti kabisa kwa sababu hajui raha wala kelo ya ndoa. Shida inakuja yule ambae ameolewa na ameachiwa watoto au ameamua kuchukua watoto...
  13. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Haswaaaa! maana msema peke sikuzote hushinda.
  14. suregirl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengine ni mumiani

    Akyamungu nimechekaje kazi kweli kweli!
  15. suregirl

    JamiiForums Tanzania My God, ningelikuwa Rais oohooo

    ahhahhhhha
Back
Top Bottom